ukiitaji softcopy ya hii kitabu niambie nikupe mkuu.[/QUOTE]
Nimekupm email mkuu nidondoshee huo mzigo[/QUOTE]ukiitaji softcopy ya hii kitabu niambie nikupe mkuu.
Nishakutumia mkuu,wee fungua Email yako utaona.[/QUOTE]Nimekupm email mkuu nidondoshee huo mzigo
Mimi nilisoma C++ , na java lakin sio deep sana.. java nilikutana nayo chuo ... lakin nikiwa tayar na background nzuri ya C++ na java so nilipokutana na java.. haikuwa ngum kwangu.Language gani ulisoma mkuu??
Vipi java fx je??
Kiukweli ni lugha ambayo niliitamani na pia naipenda sana!! nna hamu nifike mbali hasa katika software development za simu au komputa!! je mdau uliye soma java, ulisomaje ukai master? je nisome vipi ili niwe mzuri kwenye java?
Nijifunze nini cha ziada niweze kuwa compitent software(java) developer?
Mwandishi ni nani?? Deitel au?? ThanksTafuta kitabu kinaitwa "HOW TO PROGRAM-JAVA" kina mifano mingi ya code so una master faster JAVA.
Ndiomaana hukuiwezaTulienda chuo mkuu. So na wewe nakushauri ujiunge na chuo
Mwandishi ni nani?? Deitel au?? Thanks
Post ya pili hapo juu kuna mdau kaweka wdition ya 10 ya 2015!
Soma latest editionPost ya pili hapo juu kuna mdau kaweka wdition ya 10 ya 2015!
Hiki nnacho!! Una kitabu kizuri cha php mkuu??
Kiukweli ni lugha ambayo niliitamani na pia naipenda sana!! nna hamu nifike mbali hasa katika software development za simu au komputa!! je mdau uliye soma java, ulisomaje ukai master? je nisome vipi ili niwe mzuri kwenye java?
Nijifunze nini cha ziada niweze kuwa compitent software(java) developer?
Wala usihofu ndugu mdogo mdogo ndio mwendo!! Cha kwanza jiulize je unapenda kutengeneza websites au softwares kama za android au pc!! Then utakua umepata jibu wapi uanzie!!Hii kitu inaniinteresst sana sema hata sijui naanzia wapi??
Usitie shaka ukiwa tayari karibu tulisogeze gurudumu!!Mkuu. Nimeipenda hii juhudi yako. Naomba na nijiunge kwny juhudi. Nitakupm ili nami nipate madesa toka kwako
Hiki nnacho!! Una kitabu kizuri cha php mkuu??
Usitie shaka ukiwa tayari karibu tulisogeze gurudumu!!