Mjadala: Je, ni kweli Magari aina ya Nissan Xtrail ni mabovu?

Naona watu siku hizi magari haya ya Nissani Extrail wananunua sana.

Je wanajua kuwa ni mabovu na spea zake ghari au hawaambiwi na watu.
We huzijui hizi gari wala hujui jinsi ya kuitunzam
Nimetumia hii gari kwa miaka 6 (NT30) na kutembea nayo km165,000 katika kipindi hicho.
Hiyo gari ni tamu....nimeshapita nayo mahali kibao landcruiser vx zimenasa
 
Voxy na Noah model inayofanana na Voxy sio gari zile. Chukua Exurb Noah, hujajutia pesa yako.
Nadhani Unamaanisha Liteace Noah ama Townace Noah, hizo kweli ni ngumu. Ninayo moja, ni mwaka wa tano sasa sijagusa chochote kwenye injini ama giaboksi, zaidi ya kubadili tie rod end na breki. Ziko poa sana
 
Kama alikosea kuanzia service ya kwanza hasa ktk kubadili ATF basi imekula kwake. Wengi hawaangalii ATF inayopendekezwa na nissan mwisho wa siku gear box inazingua sanaa. Lkn kama umeweka oil zake za kiwango huwez kupata ttizo lolote zaid utabadili sensor kama imechoka au plug. Nina uzoefu na hayo nissan xtrail. Tatizo la mafundi hawayajui haya magari na ukizingatia uwezo wao wa kufikiri wengi wao ni wa chini sanaaa.
Hizi sensor ni bei gani? Especially oxygen sensor na airflow sensor?
 
Naona watu siku hizi magari haya ya Nissani Extrail wananunua sana.

Je wanajua kuwa ni mabovu na spea zake ghari au hawaambiwi na watu.
Nissan kama nissan kibongo~bongo kama una pesa za mawazo zitakutesa iwe nissan yoyote ile ila kama mtu unauwezo wa kuhimili sio mbaya coz after all spear za nissan zinapatikana (Nairobi) Kenya kwa wingi sana coz nissan wana consumers wengi huko. Kwa hapa nyumbani tuchezeni na toyota ndio size yetu
 
Juzi gari yangu Extrail Rider ilileta matata. Asubuhi inawaka vizuri ila nikiizima haiwaki tena. Nikaenda garage moja nikaambiwa oxygen sensor na airflow sensor zimekufa. Nikazama Ilala maduka ya spare nikazipata , moja kwa laki mbili na therathini. Jumla karibu laki tano pamoja na kuzifunga ikaenda.
Gari nimewasha na kuzima system ikafanya kazi poa. Nimerudi nyumbani. Kabla sijafika nikasimama sehemu, kuwasha gari haiwaki. Karibu nichanganyikiwe. Baada ya jaribu nyingi nyingi ikawaka. Nikaenda kuupaki nyumbani. Asubuhi , kuangalia oil, naona oil imechanganya maji vibaya.

Katika kuulizia nikapewa no ya Fundi mmoja yupo Biafra. Nikampigia na kumpa history nzima na jinsi nilivyokuta maji kwenye oil. Jamaa kanipa maelezo kwa nini hali hiyo imetokea, nikapekea gari, kumbe gasket imelika, na kuna kufaa kimepinda sababu ya joto.

Jamaa kaifix. Sasa hivi gari ipo poa kabisa.
 
Hapo BIAFRA hao mafundi wanastahili TUZO aisee mm maji ya rejeta yanaisha haraka yaani ukitoka hom mwenge kufika posta mjini hamna maji. nikapeleka kwa makanjanja mwenge chini ya mwembe/karibu na tamal hotel full sanaa wanakula pesa gari haiponi, nilienda kuchukua RB nikamuweka ndani kisha nikaenda pale biafra jamaa katumia 30 mins. shida kwisha. *****.... Biafra noma...
 
Kaka nipe namba ya fundi nami niende, hata kwa PM
 
BIAFRA pale ndo kila kitu madalali, mafundi aina zote wanapatikana pale.

Siku zote naamini hakuna gari isiyofaa, ttzo letu hatuna mafundi wa uhakika. Kila gari lzm iharibike sbb imeundwa kwa vitu vinavyoisha. Cha msingi ni lazma kuwa na mafundi wa uhakika tu. Hakikisha unaendesha gari unayoipenda sio anayoipenda rafiki yako. Hongera kwa wale wanaoendlea kutoa namba za mafundi ili watu waendeshw vipenda roho vyao
 
Gari Toyota bhana kwa kila kitu kuanzia upatikanaji wa spare, bei za spare, pamoja na uimara wa Engine hapa namaanisha Toyota Harrier, Rav 4 nk
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom