UTEUZI: Catherine Ruge(CHADEMA) ateuliwa kumrithi Dr. Macha(aliyefariki), Ubunge Viti Maalum

Viti maalumu vyama vyote hupeleka majina kwa rank za kura walizopata kwenye chaguzi ndani ya vyama hivyo akiondoka mbunge wa viti maalumu tume inaenda tu kwenye list waliyopewa na chama husika wanampa aliyefuatia kwa kura.
No, consultation muhimu. Je kama ameshahama chama watamteuaje kama mbunge wa viti maalum cdm wakati pengine yeye sio cdm tena by then!!
 
Hongera kwake! Nimepitia acc yake fb japo haitosh ila nimejiridhisha! Ni mwanaharakat flani na si boboza.
 
No, consultation muhimu. Je kama ameshahama chama watamteuaje kama mbunge wa viti maalum cdm wakati pengine yeye sio cdm tena by then!!
Ni wajibu wa chama kuijulisha tume sio kazi ya tume kuota silence means OK mbona inawauma sana huyu Mama kupata ubunge?
 
Amekaa kikaha kahaba
 

Attachments

  • IMG-20170504-WA0082.jpg
    IMG-20170504-WA0082.jpg
    41.6 KB · Views: 44
Back
Top Bottom