Excel for Professional, Tally ERP & QuickBooks Training

Mbona mnapendelea walioko Dar tu...?? Wengine wanaweza kupataje elimu hii...mpaka aje Dar?
Asante sana ndugu Jose,kwa sasa tunalo branch moja pekee na lenyewe lipo hapa Dar,ni matalajio yetu kuwa kwa siku za usoni tutafungua pia na huko mikoani ili tuweza sambaza hii elimu kwa kila muhitaji.
Kwa sasa kozi hii inaendeshwa Dar Es Salaam,
Karibu sana.
 
Madarasa yetu ni endelevu, yanaanza kila wiki siku ya jumatatu na pia yapo ya wikiend pia.
Njoo uongeze ujuzi na uongeze ufanisi katika kazi zako.
Karibuni sana.
Piga: 0717 718519 | 022 270 1320
tuandikie: training@comskills.co.tz
tembelea: www.comskills.co.tz
Ofisi zipo Makumbusho Bus Stand gorofa ya pili
 
Nataka kusoma quick book pekee yake ita cost shs?
Asante sana ndugu "Pizz", QuickBook ni Tshs. 350,000/= pekee ni masaa mawili kwa siku kwa wiki mbili.
Ukimaliza utapata cheti na utapata miezi mi3 ya free consultant. pale utakapo kwama sehemu yoyote kazini ndani ya miezi mitatu tukakua kazi.
Tupigie: 0717 71 85 19 | 022 270 1320
Tuandikie:training@comskills.co.tz
tembelea: www.comskills.co.tz
 
Madarasa yetu ni endelevu, yanaanza kila wiki siku ya jumatatu na pia yapo ya wikiend pia.
Njoo uongeze ujuzi na uongeze ufanisi katika kazi zako.
Karibuni sana.
Piga: 0717 718519 | 022 270 1320
tuandikie: training@comskills.co.tz
tembelea: www.comskills.co.tz
Ofisi zipo Makumbusho Bus Stand gorofa ya pili
 
Darasa jipya la Advanced Excel litakuwepo tr 24-28/07/2017
Ni muda wako sasa wa kujiandikisha mapema na kuweka nafasi yako.
Pia tunakaribisha makampuni kuwanoa watu wake kwenye kozi hii.
 
Darasa jipya la Advanced Excel litakuwepo tr 24-28/07/2017
Ni muda wako sasa wa kujiandikisha mapema na kuweka nafasi yako.
Pia tunakaribisha makampuni kuwanoa watu wake kwenye kozi hii.
 
comskills (1).gif
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom