Mkuu hali hiyo isikutishe kwani ni kitu cha kawaida kwenye lugha.Hilo ni tatizo la kiotografia.otografia ni utaratibu wa kutumia maandishi kuwakilisha sauti zisikikazo katika lugha.katika otografia ya kiswahili sanifu kuna sauti ambazo huwakilishwa na herufi zaidi ya moja mf:th,sh,mb,mw,nj,ng...