UDSM waapa Kugomea watoto 1600 waliokosa Mkopo

Janja PORI

JF-Expert Member
Jul 31, 2011
827
244
Tetesi toka Mabibo hostel. Kundi la wanaharakati wametoka mikoani kwa jili ya kutetea first yearz 1600 waliokosa mkopo first year mtaokuja UDSM mjipange Kunji
 
N2nde

Member
Sep 2, 2011
21
1
bora iwe ivo manake udsm ni ktov na inasikilizwa kama ule mchongo wa kuongeza hela ya boom ilianzia wap? kama vp wafanye kwel ili na ss wa vyuo vngne 2nufaike.. wanao beza taarifa hi ujue wanamkopo!!!
 
Nancheto

Member
Mar 4, 2011
25
4
bora iwe ivo manake udsm ni ktov na inasikilizwa kama ule mchongo wa kuongeza hela ya boom ilianzia wap? kama vp wafanye kwel ili na ss wa vyuo vngne 2nufaike.. wanao beza taarifa hi ujue wanamkopo!!!
Ni sahihi kabisa tunaomba muendelee na zile harakati zenu za kudai pesa ya shoe polish mutasaidia sana vyuo vingine,mukishafanikiwa anzisheni mgomo wa nyongeza ya boom kwa ajili ya sigareti .tehe tehe tehe
 
Bambanza jr.

JF-Expert Member
Aug 6, 2011
355
36
Mie nmepata 1.6 cjapata mkopo, leo hii npo tayari roho yangu itoke ili kusaidia vijana wajao watakaopigika kupata one wapewe mkopo!
 
1 Reactions
Reply
Top Bottom