Diploma in primary education

Nancheto

Member
Mar 4, 2011
25
4
Wana JF chuo kikuu huria Tanzania kinatoa stashahada ya elimu ya msingi ambayo hakuna chuo chochote cha ualimu kinachotoa stashahada hiyo.Aidha ktk wizara ya elimu sijawahi ona tangazo au maelekezo yoyote kuhusiana na stashahada hiyo!Taarifa za uhakika ni kwamba aliyemaliza na kufaulu stashahada hiyo anaweza kudahiliwa ktk masomo ya shahada ya kwanza hapohapo chuo kikuu huria.kama kuna mwenye uelewa anielekeze.1.wizara inaitambua diploma hii?
2.kama inatambulika je,inaweza kutumika kwenye sifa linganishi(Equivalent) kama ilivyo kwenye Diploma in secondary education ili kudahiliwa kwenye vyuo vikuu vingine tofauti na cho kikuu huria?
 

dedam

JF-Expert Member
Jan 5, 2011
845
164
erkenford tanga university wanatoa diploma ya primary kama inatambulika twaomba mtujuze
 

bullet

JF-Expert Member
Oct 31, 2009
1,047
534
TCU ndio wanaofanya accreditation na ku approve course zote katika vyuo vikuu ukiacha vile vilivyo chini ya nacte. Diploma ya ualimu wa shule za msingi inayotolewa na OUT, imepitia michakato yote mpaka kuanza kutolewa. Inakubalika na wizara ya elimu. Mojawapo ya vigezo kuisoma lazima uwe mwalimu wa shule ya msingi.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

0 Reactions
Reply
Top Bottom