Miafrika kwa kuaribu, eti lile Yakubu limevamia sherehe ya kuzaliwa Mzee Ferguson na kumwagia mchanga keki.
Mzee Manda heri ya mwaka mpya kutoka kwa Yakubu, Mfarisayo Da Gea anakukalibisha pilau la mwaka mpya.
Jifarijini tu hivyo hivyo, hao toons wenu mtakuja kuwakana siku hiyo
Mbavu zangu!
Wajifariji kwa kipigo nyumbani, 31-12-2011?
Dua la kuku!
Like Man City like Man U...
Like Man City like Man U...
Acha kulinganisha bahari (man utd) na dimbwi (man city)
Acha kulinganisha bahari (man utd) na dimbwi (man city)
Tatizo la kukimbilia hospitalini, Mfarisayo ati alienda ICU kuwajulia hali kina eqlpssssssssssssssssssss, BJ et al halafu akaondoa drip nusura jamaa wafe lakini Manda na Belo walikuwepo kuokoa jahazi walifyatua panick button hivyo madaktari wakawahi kuwaweka sawa. Fungie aliandaa hii ratiba akifikiria ndo ka-win kumbe EPL ile ya mwaka jana imebadilika wacheni kukurupuka ati mashetani ushetani wenu ndio kiama chake chacha.
Khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee wengine wamefufuka leo tangu walipochapwa walipotea kama hadithi za Bulicheka.
Chacha imebaki kuulizana wewe sio Mmanure fan o oo ooooooo maloloso kibao ngebe zote kwishnei.
Komredi Ngosha
Ww sina hakika kama n Manure fans kwel...hatunaga mashabiki type yako...
Age factor ya SAF has got nthng to do na perfomance ya Manure uwanjan, sidhan ka ndo alimtuma Nani kucheza useng# ule aliokuwa anaucheza jana...embu kuwa mkwl bana..
Runi...ww unataka acheze kila mech?, hachoki?, mind u, rangu ligi ianze amecheza karibia 90% ya mech za manure, tena kwa kuanza...asa duru la pili linapoanza ambalo ni la lala salama tena la umhimu mkubwa ww unataka acheze tuuuuuu...khaaa...au umesahau topic ya game rotation as long as wanaoanzshwa wanafunga? (Beba)??
Nani saga.....unles uwe mgen wa hyu mmakonde, hyu dogo kuna mech anacheza utasema 'to hell wth CR7'...kuna nygne akicheza utataman hata apelekwe kwa mkopo sundaland, despite all his faulties, jamaa anaweza aka deliver matokeo anytym t bana, so the gaffer was gambling.
Giggs...mwachen mzee wa watu apumzike mwaka mpya na wanae...Da gea....he just had a one bad day, kama sio mistake, yy sio robot kuwa na perfection 100%...so ambaye unasema asaval ya Lindrrgard, watch ur mouth, kumbuka mara ngap amekua na gud game.
All n all, msimu jana tulifungwa na Wolves nakumbuka,,tena sie tukiwa kilelen wao mkian kabisa...hili ndilo soka, amna nafas ya kumlaumu mtu wala nn, ao ao kina park na carik ndio ambao wame deliva matokeo wakiwa hvohvo..so amna haja ya kumlaumu mtu apo...n chalenj tu ya kawaida.
Punguza pelekete mtt wa kiume..unaujua moto wetu niaje, hofu yako naitambua...usijali, sitakutwanga nane tena Emirata ili walau uingie Top 4...deal?
Lindegaard ni bora kuliko De Gea.......poleni mashetani
Tehetehe! kaka, za miaka mingi?, poole sana..najua tangu uende migodini kusaka dolali mambo yamebadilika sana hapa mtaaani..ona sasa ushapotea hadi kwako, ni mtaa wa nyuma hapo, nyumba yako iko karibu na dampo kuuubwa la karibu hapo..in the
heart of Milan fans the real hero is Filippo
Inzaghi.
Every match Milan fans sing: "Ohi Ohi Ohi
Pippo Inzaghi segna per noi, even when Pippo is not on the field.