MBUFYA
JF-Expert Member
- Aug 15, 2011
- 445
- 68
Zoezi la kuhakiki uwepo wa kuwalipa walimu hewa pamoja na wale ambao hawafanyi kazi linatarajia kuchukua sura mpya pale ambapo walimu wote nchini watapokelea mishahara yao ya mwezi january kupitia ofisi za elimu halmashauri za wilaya na manispaa.
chanzo cha habari hii kimesema hii ni muendelezo wa zoezi la kuhakiki walimu hewa wanao lipwa bila kufanya kazi
nawashauri walimu wote walio mbali na vituo vyao vya kazi kwa sababu mbalimbali andaeni nauli na mahali pa kufikia muda utakapo fika.
HERI YA MWAKA.