Sugu ni Jiwe la MSINGI! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Sugu ni Jiwe la MSINGI!

Discussion in 'Celebrities Forum' started by Amoeba, Aug 20, 2011.

1. Amoeba

Amoeba JF-Expert Member

#1
Aug 20, 2011
Joined: Aug 20, 2009
Messages: 3,328
Likes Received: 95
Trophy Points: 0
Nawashangaa sana watoto wa bongofleva mnaoendekeza njaa!! Wengi wenu mnatakiwa mmwite kaka huyu jamaa, na wengine ni baba yenu kabsaa (kwenye mziki)! Ss mnapofunua vidomo vyenu vyenye lipustiki na kumponda mtu aliyeufinyanga huo mziki unaowapa maisha mnakuwa wakosefu wa shukrani!! Mnastahili bakora, pambf.

2. Nyani Ngabu

Nyani Ngabu Platinum Member

#2
Aug 20, 2011
Joined: May 15, 2006
Messages: 73,655
Likes Received: 35,416
Trophy Points: 280
He needs to get over whatever happened and move forward with his life.

3. P

Peter lilayon Member

#3
Aug 20, 2011
Joined: Aug 13, 2011
Messages: 52
Likes Received: 0
Trophy Points: 0
Kweli sugu ni nguzu wa muziki bongo hilo mbona halipingiki clauz wamembania mchiz kasonga,toka kushika mike mpaka kupiga story na pinda baaako, clauz aibu yao wanatamani walete shobo sugu kakaza huu ndo ukwel, watu mwanche selfish za kiswahili 2kubal mafanikio ya wenze2

4. Mwita25

Mwita25 JF-Expert Member

#4
Aug 20, 2011
Joined: Apr 15, 2011
Messages: 3,840
Likes Received: 18
Trophy Points: 0
Mtu aliyepata FOUR form FOUR naye atakuwaje jiwe la msingi? Kweli dunia haiishi maajabu.

5. Bujibuji

Bujibuji JF-Expert Member

#5
Aug 20, 2011
Joined: Feb 4, 2009
Messages: 35,381
Likes Received: 22,254
Trophy Points: 280

wee una wazimu usio tibika. Sugu alikufanya nini? Au ndio ile hadithi ya demu wako, dada yako kisha akamaliza na wewe mwenyewe?

6. Chuma Chakavu

Chuma Chakavu JF-Expert Member

#6
Aug 20, 2011
Joined: Apr 16, 2011
Messages: 1,524
Likes Received: 5
Trophy Points: 135

ni ajabu binadamu kama wewe kuwa na akili za mbuzi

7. Mwita25

Mwita25 JF-Expert Member

#7
Aug 20, 2011
Joined: Apr 15, 2011
Messages: 3,840
Likes Received: 18
Trophy Points: 0

As a man of great probity, and for the sake of JF status, I have to refrain myself from using any billingsgate in return.

8. Daudi Mchambuzi

Daudi Mchambuzi JF-Expert Member

#8
Aug 20, 2011
Joined: Nov 25, 2010
Messages: 31,811
Likes Received: 36,892
Trophy Points: 280
Post zako zimefika 362, Nape anakulipa sh. ngapi kwa kila post moja unayoituma???

9. Foundation

Foundation JF-Expert Member

#9
Aug 20, 2011
Joined: Nov 25, 2010
Messages: 1,458
Likes Received: 256
Trophy Points: 180

10. BAFA

BAFA JF-Expert Member

#10
Aug 20, 2011
Joined: Jul 19, 2011
Messages: 2,345
Likes Received: 2,887
Trophy Points: 280
ruge mutahaba

11. P

Pepo Member

#11
Aug 20, 2011
Joined: May 7, 2011
Messages: 50
Likes Received: 0
Trophy Points: 13
Sugu katoa muziki wa bongo mbali,time goes atafanikiwa katika harakati zake kwani wanamuzik walio kuwa hawajui sa ivi nao wanafunguka,
hofu yangu ni kwa wasanii wasio muunga mkono,je watakuwa upande wake badae?

12. P

Pepo Member

#12
Aug 20, 2011
Joined: May 7, 2011
Messages: 50
Likes Received: 0
Trophy Points: 13

hilo jina linanichefua.

13. K

KAMALELA JF-Expert Member

#13
Aug 20, 2011
Joined: Jun 23, 2011
Messages: 213
Likes Received: 47
Trophy Points: 45
Yaani Mwita Nashindwa kukuelewa kabisa ndugu yangu, inawezekana katika maisha yako hujaona watu ambao ni JIWE LA MSINGI na elimu ndogo!? Mzee wetu Rashid Kawawa wakati anachukua uwaziri mkuu alikuwa na elimu gani? Mzee wetu ambaye mpaka sasa tunamkumbuka kwa busara na uongozi thabiti Abeid Karume naye unamzungumziaje? hao wote hapo waliiongoza hii nchi mpaka ikawa ni mfano wa kuigwa. Angalia ambao ni wasomi Benjamin Mkapa, Jakaya Kikwete, Edward Lowasa, Andrew Chenge na wengine wengi wa aina hiyo wametupeleka wapi mpaka sasa.? Elimu ya Sugu sio iliyompatia Ubunge bali ni namna yake ya kujenga Hoja na Kuitetea. nitajie mwenye elimu kubwa katika chama chako cha magamba ambaye ameweza kutumia elimu yake kuwaokoa Watanzania katika matatizo kibao. Ndio, Elimu ni muhimu sana ktk maisha ya mwanadamu lakni kama CCM wameshindwa kuwapa elimu Watanzania wengi akiwemo SUGU unatazamia tutaongozwa na nani?

PUNGUZA DHARAU NDUGU YANGU, HIYO ELIMU YAKO ITUMIE KUELIMISHA WENGINE BADALA YA KUWAKEJERLI.

14. Kimbweka

Kimbweka JF-Expert Member

#14
Aug 20, 2011
Joined: Jul 16, 2009
Messages: 8,608
Likes Received: 49
Trophy Points: 145
kila siku unaandika hicho hicho sijui umetumwa huna jipya wewe nyang'a.....

15. Rejao

Rejao JF-Expert Member

#15
Aug 20, 2011
Joined: May 4, 2010
Messages: 9,239
Likes Received: 245
Trophy Points: 160
Sugu ni mmoja wa wapambanaji wa mwanzoni kwenye muziki wa kizazi hiki, hili halina ubishi!
Lakini mwisho wake kaharibu, amefilisika kimuziki na kifikra!
Kuona wenzake wanapanda juu na kupata promo hataki! Anataka aendelee tu kuenziwa!
Poor him!
Hint: Siasa nayo imemshinda! Akikosa ubunge 2015 ataanza tena kulitukana bunge

16. m

mwacheni77 JF-Expert Member

#16
Aug 21, 2011
Joined: Apr 11, 2011
Messages: 764
Likes Received: 70
Trophy Points: 45

Elimu ya pro maji marefu,Nape na wameaminiwa kupewa nafasi kubwa tu,umesoma ila unaonekana hujui hata elimu ni nn,unaonekana umehitimu kwa madesa na vijiji vya ujamaa,punguza kiburi na elimu yako ndogo unayomiliki,whatever he is legend from am 2 fm,from jukwaa la muziki 2 mjengoni

17. m

msukwaa Member

#17
Aug 21, 2011
Joined: Aug 18, 2010
Messages: 55
Likes Received: 0
Trophy Points: 13
mfanyakazi wako kibonde alipata four ya mwisho leo ndo jiwe la msingi la redio yako ya wafu.

18. Monstgala

Monstgala JF-Expert Member

#18
Aug 22, 2011
Joined: Aug 25, 2009
Messages: 1,082
Likes Received: 81
Trophy Points: 145
Mkwara wa kizamani, eti "man of geat probity" huna lolote, mtaro wa maji machafu we!

19. Candid Scope

Candid Scope JF-Expert Member

#19
Aug 22, 2011
Joined: Nov 8, 2010
Messages: 11,896
Likes Received: 119
Trophy Points: 160
Tuelimishane kidogo. Viwango vya elimu si ndio kipimo cha uwezo na uelewa wa mtu ingawa kwa baadhi ya watu inawasaidia ambao akili yao inahitaji kuamshwa zaidi. Tumepata madiwani hata wabunge ambao kiwango chao cha elimu ni shule ya msingi na wamefanya mazuri tu. Vinginevyo kama kiwango cha elimu ndio kigezo cha uwezo wa mtu kuongoza basi hata viongozi kitaifa kama rais wangepaswa kuwa na kiwango cha juu cha Phd. Lakini mambo hayaendi hivyo.

Kwa nini wagombea nafasi mbalimbali za uongozi kuanzia ngazi ya rais hadi madiwani hupambanishwa kwenye midahalo? Kila mmoja wetu anajua ni kwa ajili ya kupima uwezo wao wa kujenga hoja, uelewa wao katika masuala ya uongozi, ukomavu wa kiakili na kifikra, ujenzi wa hoja za kutetea mambo ya msingi kwa maisha ya wananchi watakaowatumikia, na kujiamini kwao ili wananchi wawaaminishe kushika uongozi. Kama sio hayo kwa mtazamo wa Ndugu Mwita Elimu yao ingekuwa kigezo halali cha ubora wa uongozi, matokeo ya waliokwepa mdahalo ndo hayo sasa tunashuhudia wanavyoshindwa kusoma upepo baharini na mashua inaposhika kasi no control, nini sababu hawakukubali kupimwa na wananchi kwenye midahalo iliyo wazi kwa wapiga kura wao.

Kwa taarifa yako elimu yote ni kisomo cha shule ya msingi, baada ya hapo ni extension tu ya yale uliyosoma, hutasikia jipya zaidi ya yale uliyojifunza shule ya msingi ila sasa ni kwa upana zaidi. Kwa mwenye akili nzuri kiwango cha sekondari ni elimu nzuri sana kwa mantiki ya kwamba dunia yote utakuwa umeshaitalii kielimu.

Wanafalsafa mashuhuri kama akina
Sokrates na Aristatle wa jamii ya wayunani hawakuwa na kiwango cha Phd, bali walipanuana akili kule Ugiriki kwenye kilima cha Aleopago na yaliyojilia leo watu wanasomelea hadi kunyofoka nywele na wengine kurukwa akili ni kwa sababu ya kulazimisha kushindilia akilini kitu wakati capacity ya ubongo wao hairuhusu.

Kumbuka baada ya degree ya kwanza, Masters na Phd hakuna mfumo kama wa ilm yenye silabas na mkufunzi wako ndiye anayekuongoza na kukupa cheti cha ufaulu pamoja na wapambe wenzake kuridhishwa na hoja za utetezi wako. Ndio maana haitwi
teacher bali instructor kwa maana ya kwamba ni mtoa maelekezo na kazi wewe mwenyewe unaifanya. Kinachoendelea huko kwenye Masters na Phd ni mabishano kama watu wanywapo pombe kubishana kwa hoja, au wazee wetu walivyokuwa wanakutana siku za mapumziko na kupimana nguvu za kufikiri ambapo mawazo yao mengi yaliibuka na kuibua ubunifu fulani.

Nikupe mfano mmoja fulani, baada ya kutoka chuo na kupewa kazi ya kuendesha
Roscam Robotica Interface System kwa miaka miwili aliamua kuacha kwa hiari baada ya kuona ni mtumwa wa mtambo ambao akili yangu haifanyi kazi ila mtumwa wa robot na kiwango chake cha kufikiri kinazidi kudumaa. Bora kazi ya umachinga inakupa fulsa ya kuchanganya akili yako na ya wengine namna gani nipange biashara ya kuuza ubuyu aliouokota kwenye mbuyu wa kule Bwaga-moyo. Kwa mantihi hiyo kufikiria kufanya kazi kutokana na ulichosoma darasani ni utumwa na mara nyingi hakuna mafanikio. Darasa linakusaidia kufungua namna ya kutumia akili yako hapo ndio utakuwa umeelimika, lakini kufanya kwa kutegemea yale uliyoyasoma maana yeke we mtumwa wa mawazo ya mtu fulani.

Kwa hiyo kufikiri kwamba elimu ndio kiwango cha mtu kuweza kuongoza au kufanya vizuri ni ufinyu na pengine ni sababu ya kutotambua akili za watu zinavyofanya kazi, na pengine mtazamo binafsi mtu akauchukulia kama ndio kigezo kwa mambo ya watu wengine kitu ambacho sivyo. Kumbuka wagunduzi wa awali walipata wapi Phd? Akina Thomas Edson huko West Orange, NJ, nchini USA aliyevumbua bulb karne moja iliyopita alikuwa na elimu gani kama si utundu wa kutumia akili yake na kutokukubali kushindwa kwa kufanya majaribio kadhaa hadi afanikiwe? Na alikuwa halali nyumbani, kitanda chake kingali pale pale workshop alipokuwa anafanyia majaribio yake, akichoka analala huku anaota kazi yake na ndoto ikimfikia papo hapo huamka na kuendelea na majaribio yake. Hata majaribio yake ya kutengeneza gari litumialo umeme angefaulu kama kifo kisingemkatisha.

20. N

Nancheto Member

#20
Aug 22, 2011
Joined: Mar 4, 2011
Messages: 25
Likes Received: 0
Trophy Points: 0
AROOO!nikisema up lala chini na nikisema down inuka juu.mimi ndiyo afande mwita nimesoma pare sekondari ya jangwani secondary school.tehe tehe tehe tehe.

SCHOOLING IS USELESS BECAUSE SCHOOLS ARE MAKING PEOPLE MORE STUPID AS HOSPITALS ARE MAKING PEOPLE MORE SICK-IVAN ILLICH
(1926-2002)

Loading...