Recent content by Nanaru

  1. Nanaru

    Pata mkopo wa gari lipia ndani ya miaka miwili

    Vigezo? Masharti? Au hakuna vigezo na masharti ya kuzingatiwa?
  2. Nanaru

    Msaada: Kadi original ya gari

    Ina maana ulikuwa unatembea na kadi original ndani ya gari? Hukuwa na nakala ya kadi original ndani ya gari? Nadhani wewe huna gari, umeamua kuuliza tu swali hili.
  3. Nanaru

    Wenye uzoefu: Laki moja inatosha matumizi ya wiki moja?

    Laki moja katika Tsh au USD? Vilevile inategemea mnaishi katika mji gani na nchi gani. Fafanua!
  4. Nanaru

    Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!

    "The thing you can try is better than the thing you can do" I am in.[emoji106]
  5. Nanaru

    Naomba uniulize chochote kuhusu kufanikiwa katika Biashara na Ujasiriamali

    Hongera sana Ontario kwa consultation unayotupatia ktk jukwaa hili. Je, unayo idea juu ya Ukandarasi (Building and Civil works Contractor)? Kama unayo idea/ufahamu juu ya hilo, tunaomba utupatie ufafanuzi hii biashara ikoje, inalipa au la!
  6. Nanaru

    Tunakujengea na kukukabidhi Nyumba hii kwa Tshs. 32.20 Millions kwa siku 50!

    Tangazo zuri. Ila je, gharama hizo ni kwa sehemu yoyote ya nchi? Iwe Kigoma au Mbeya au Lindi, gharama ni sawa?
  7. Nanaru

    TRA mara ya mwisho ilitangaza kukusanya kodi ya shs ngapi?

    Habari wanajamvi. Tulizoea kutangaziwa kila mwezi mafanikio ya TRA katika makusanyo ya kodi na kutangaza katika vyombo vya habari kiasi kilichokusanywa. Ni miezi kadhaa sasa siyasikii matangazo yale. Je, ni mimi siyasikii au hayatangazwi siku hizi?
  8. Nanaru

    For JamiiForums Mobile users

    Nanaru[#008000]
  9. Nanaru

    For JamiiForums Mobile users

    [Color=Like[/color]
  10. Nanaru

    Matumizi ya madawa/vitanzi vya kupanga uzazi ni hatari

    Nafikiri ingefaa ukafanya utafiti zaidi kwa watu walio/wanaotumia vijiti kabla hujaja na conclusion kuwa havifai kwa sababu tu wewe na mwenza wako hamjabahatika kutungisha mimba ndani ya hiyo miezi 10. Upo ushuhuda wa wanandoa wanaotumia njia hiyo kuwa ndani ya wiki ya kwanza baada ya kutoa...
  11. Nanaru

    UEFA Champions League: Atletico Madrid Vs Real Madrid

    Una uhakika?[emoji115]
  12. Nanaru

    USHAURI; Wakati Sahihi Na Wakati Mbaya Wa Kuchukua Mkopo Wa Biashara Benki

    Kigezo kingine cha wakati sahihi wa kuchukua mkopo wa biashara benki ni KUIFAHAMU MISIMU YA BIASHARA YAKO. Mfano: Kama biashara yako ni ya kuuza vinywaji, msimu mzuri (hing season) wa biashara ya faida ni wakati wa kiangazi na mavuno (Julai - Februari), na msimu mbaya (low season) wa biashara...
  13. Nanaru

    Ndege ya abiria kubwa na ndefu kuliko zote duniani yaanza safari zake

    Ya abiria! [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji574]
Back
Top Bottom