Habari wadau,
Mimi nimeoa na tumebahatika kupata watoto wawili katika ndoa, baada ya hapo tuliamua kutumia njia za kupanga uzazi(kitiji) kwa sababu kadha wa kadha, ni kweli tulifanikiwa kufanya hivyo kwa muda wa miaka miwili na miezi saba. Baada ya hapo ukawa ni muda muafaka kupata mtoto tena.
Cha ajabu na kusikitisha ni miezi 10 sasa tangu ametoa hicho kijiti na hakuna mafanikio yoyote. Tumejaribu kuwaona wataalam katika hospitali mbalimbali bila mafanikio japo bado hatujakata tamaa.
Nimeona ni bora niwafahamishe wadau msije rudia makosa kwani wakati ukiwa unawacosult family plan wanakushawishi kwa kusema utakapohitaji mtoto ukitoa tu unapata kitu ambacho si kweli, kuna watu wengi tu wamenishuhudia shida kama hii.
Kuweni makini