mmbangaya
JF-Expert Member
- Jan 16, 2015
- 997
- 1,763
Salama wakuu,
Naomba mnisaidie kuna bibie mmoja ninaishi nae japo hatujafunga ndoa, ila changamoto imeanzia kwenye hela ya matumizi.
Hapa tunaishi wawili tuu mimi nae hela ya kula nyumbani kila Jumatatu nampa laki moja ila yeye anasema ni ndogo iwe laki moja na nusu.
Kwa sasa yeye hana kazi ni mama wa nyumbani. Na ukizingatia hiyo laki moja ni kwa ajili ya vitu vidogo vidogo tuu, ila mchele, unga sijui Samaki nyama vyote nanunua najaza kwenye friji au stoo.
Pia matumizi yake kama saloon perfumes ni nje ya hiyo laki moja. Sijamjibu chochote aliposema haitoshi nimeona nije kuuliza Wahenga huku.