Pata mkopo wa gari lipia ndani ya miaka miwili

Pata mkopo wa gari lipia ndani ya miaka miwili

beauty in me

Senior Member
Joined
Dec 27, 2017
Posts
161
Reaction score
134
Lipia 50% ya gari unayotaka kisha lipia kiasi kilichobaki ndani ya miezi 24 huku ukiendelea kutumia gari lako.

Below ni check list yetu
IMG_20180307_164011_425.JPG
Screenshot_20180307-164152.png


Kwa maelezo zaidi Pm
 
Ila ki ukweli bei zenu mkasi au ndio mambo ya super profit, natumaini kuna punguzo kidogo. All the best.
 
Wazo zuri sana ila hiyo 50% mumeanza juu sana hasa kulingana na bei zenu zilivyo.Kwa bei mlizoweka inabidi down payment iwe ni 25% kisha gari inakatiwa comprehensive insurance kisha muda wa malipo uwe ni miaka 3 yaani miezi 36 kwa sababu hiyo gari pia itataka mafuta pia.Ingawa inategemea na mfumo wenu wa biashara.
 
Back
Top Bottom