Kuongeza kodi ni kuongeza umasikini...

Kuongeza kodi ni kuongeza umasikini...

Katika nchi zinazoongoza katika ukusanyaji hafifu wa mapato unaosababishwa na inefficiency,Tanzania yetu inaongoza katika ukanda wetu ....

Kodi ni lazma itiliwe mkazo yaani watu wengi waingizwe katika mfumo huu lakini ili hili lifanikiwe,
Lazma huduma za kijamii ziboreshwe ili wanachi wahakikishiwe kuwa kodi yao inawanufaisha

Kama tatizo ni makusanyo hafifu ya kodi wangeimarisha makusanyo bila kuongeza kodi

kuongeza kodi ni kuumiza waliokuwa wanalipa tayari.....
 
Wanazidi kukamua masikini wakati wazungu wanaochota madhahabu yetu wanapewa na misamaha ya kodi..
 
Kama tatizo ni makusanyo hafifu ya kodi wangeimarisha makusanyo bila kuongeza kodi

kuongeza kodi ni kuumiza waliokuwa wanalipa tayari.....
Mkuu,nimemalizia kuwa hata kama kodi ikiongezwa lazma impact yake ionekane kwa uboreshaji wa huduma za jamii (hii hutumiwa zaid na wananchi maskini)

Hivyo,hata kama indirect tax itaongezwa kama Vat ni lazma watu wote watalipa kodi ingawa itawanufaisha zaidi wananchi maskini...

lakini point yako ya kuongeza wigo wa kodi ni nzuri zaid na hasa kama serikali kuu itazipa nguvu serikali ngazi ya chini
 
Now JK anasifiwa alikuwa kiongozi bora aliejenga uchumi , kulinda utawala bora na uhuru wa vymbo vya habari (Wameshasahau Kifo cha Mwangosya,Dr Mvungi kuteswa kwa Dr Ulimboka,mabomu kwenye mkutano wa Chadema Arusha,Kufungiwa kwa Mwanahalisi,kupigwa kwa wananchi issue ya gesi Mtwara ) sometimes ndio maana wazungu wataendelea kututawala.
 
Wenzetu wazungu issue ya kodi ni muhimu mno mifmo yao inabana sana na ukigundulika unakwepa kodi adhabu ni kali (Nakumbuka Rais wa Klabu ya Bayern Munchen ) alifungwa jela.Hii nchi kulikuwa na biashara nyingi mno zilikuwa zinaendeshwa bila kufuata utaratibu kama ulikuwa kwenye huo mfumo yanayotokea leo lazima utalia
 
Ktk kusimamia uchumi wa nchi, awamu ya 5 ni janga. Labda ibadilike hapo baadaye before it is too late. Ni kama, "jamaa", anataka wafanyabiasha waanze kuingia hasara wafunge maduka, washindwe kulipa mikopo, akose wa kumkamua kodi ndo aelewe kwamba approach yake inaua biashara! He is an epitome of naivety. Mbaya zaidi ana personality ambayo huwa ni ngumu sana kushaurika. Watu wa namna yake unaweza kuona ana tatizo ambalo unajua ufumbuzi wake lakini ukaogopa kumshauri. Na nadhani ndo kinachoendelea ndani ya kundi la washauri wake. Wanaogopa "kubwekewa".
 
Kwenye biashara zote dogo dogo kodi imeongezwa karibu Mara 3 yke mfano mm nina stationery mwaka juzi nmelipa laki 3 kwa mwaka lkn mwaka huu kodi milion moja kwa mwaka capital yngu yenyewe Mil 3 wapi na wapi Nchi hii ipo kwa ajiri ya wenye nacho nakuona mtu wa chini unazidi kurudi chini
b41ac912ef5ad6c795e1bdf6d3e41c39.jpg

La kushangaza kodi inaongezwa tu kiholela
hakuna kikao chochote cha bunge wala tangazo katika gazeti la serikali kusema kuwa kodi fulani itaongezeka...
 
Ktk kusimamia uchumi wa nchi, awamu ya 5 ni janga. Labda ibadilike hapo baadaye before it is too late. Ni kama, "jamaa", anataka wafanyabiasha waanze kuingia hasara wafunge maduka, washindwe kulipa mikopo, akose wa kumkamua kodi ndo aelewe kwamba approach yake inaua biashara! He is an epitome of naivety. Mbaya zaidi ana personality ambayo huwa ni ngumu sana kushaurika. Watu wa namna yake unaweza kuona ana tatizo ambalo unajua ufumbuzi wake lakini ukaogopa kumshauri. Na nadhani ndo kinachoendelea ndani ya kundi la washauri wake. Wanaogopa "kubwekewa".

Nyerere kuna kipindi aliitwa 'baba haambiliki'
na aliposikia alilaumu kweli jina hilo
 
La kushangaza kodi inaongezwa tu kiholela
hakuna kikao chochote cha bunge wala tangazo katika gazeti la serikali kusema kuwa kodi fulani itaongezeka...
Acha tukamuliwe mpaka damu ili akil zikae sawa maana mijitu haisikiii
 
Nyerere kuna kipindi aliitwa 'baba haambiliki'
na aliposikia alilaumu kweli jina hilo

Halafu serikali hii ya 5 ilivyo disaster kiuchumi, wafanyabiashara wakipandisha bei za bidhaa na huduma kwasababu ya ongezeko la gharama za uendeshaji zinazotokana na kupandishiwa kodi, serikali itakuja na "mkwara" mzito sana mbele ya kundi la waandishi wa habari na TV cameras kutangaza bei elekezi!
 
wanafikiri uchumi unaendeshwa kwa kutoa amri
 
Kazi tunayo... Shida ni serikali kutaka kuachieve 10 years success in one year.... They need to take it one step at a time

Tuna shida kubwa ya mifumo na efficiencies... Hata wakikusanya ngapi, bado matumizi yatatusumbua; vilevile if the government tightens everything sasa basi wanaweza kukausha kabisa vyanzo vya mapato na kutufanya tuanze upya

I hope kutakua na revision ya hizi hasty decisions

Hope hiyo ingekuwepo kama kungekuwa na freedom of speech ya kutosha
wasikie vilio vya watu
now bunge sio live..na wabunge wanapigwa ban na kuhojiwa na polisi..
you can imagine...mikutano ya siasa yote iko suspended...
 
Tangu serikali hii ya tano iingie umekuwepo na msisitizo wa kukusanya kodi mkubwa
lakini hata hivyo imekuwepo na tabia za kupandisha kodi maeneo mbalimbali kiholela

na hata hii bajeti ya sasa inaonesha wazi serikali hii ya awamu ya tano wanachotaka
wao ni kodi tu hata kama kodi hiyo 'itaua' baadhi ya biashara za watu....

Ukweli ni kwamba wanachokifanya ni 'kumkamua maradufu ng'ombe maziwa' huku ng'ombe mwenyewe
hana afya ya kutosha na chakula chake kinazidi kupungua......

Kwa mwendo huu umasikini utaongezeka......biashara zitakufa na hayo mapato yatapungua

Ilikuwa busara zaidi ng'ombe akaongezewa kwanza chakula na matunzo na hata kupunguza
kumkamua kwanza ili anawiri ndo ukamuaji ufuatie......

Mentality kuwa watanzania wengi wana pesa na hawalipi kodi ni hatari sana...
Ukweli ni kuwa watanzania wengi ni masikni na wanaishi kwa kubangaiza zaidi
biashara rasmi ni chache sana na gharama za umeme,kodi na nyinginezo ni kuubwa sana...

Serikali ilipaswa kutumia nguvu kubwa kwenye 'new economy' na Utalii...ambako hakuna
mafanikio ya kuridhisha......kuliko kukazania kuongeza kodi kwa mwananchi....

kodi zinavyo zidi na umasikini unazidi

.

Maajabu wanaojifanya wachumi na washaauri wa rais hawalioni hili, tuna tatizo kubwa kwa wasomi wa Tz.
 
Hope hiyo ingekuwepo kama kungekuwa na freedom of speech ya kutosha
wasikie vilio vya watu
now bunge sio live..na wabunge wanapigwa ban na kuhojiwa na polisi..
you can imagine...mikutano ya siasa yote iko suspended...
I was just watching how Obama lifted USA out of bad state... kwakweli bado tuna safari ndefu...

Mkubwa alifacilitate circulation ya pesa na commodities, sisi naona tumechagua the opposite route ya kubana

Risk ya kubana na kulimbikiza everything centrally ni pale kwenye disaster zozote zile
 
Back
Top Bottom