kinywanyuku
JF-Expert Member
- Jul 13, 2015
- 3,565
- 2,630
boss hivi ukipacking nyama ya kuku hivyo si unatakiwa upige na chemical zinazozuia chakula kuharibikaChannels zangu nyingi ziko Dar, kama ungekua unafugia Dar ningekuunganisha na wadau wangu, huitaji hata kufikisha nusu ya uzito wa 2.5 kg. Huku ni mwendo wa 0.9-1.2 kg, ilimradi kuku awe na kidari cha kueleweka.
Arusha sifahamu vzr kuhusi hii industry, but pia ningekushauri kama utaweza fanya kitu ki1. Ongea na bucha kama 4 hivi uwapange kua unazalisha kuku na uingie nao partnership ya kukuuzia kuku wapo, huku wakipata faida ya 500 kwa kila mfuko m1. Baada ya hapo zalisha kuku at least awe na 1 - 1.1 kg, then fanya packaging nzuri kisha uza bei ambayp haitofautiani sana na bei ya kilo ya ng'ombe. Kama ng'ombe ni 6500 wewe uza kwa 7500 (jero ni ya bucha), hata kama faida yako ni 1000 usiwe na shaka, maana kwa kuku 1000, una mil 1 as profit. View attachment 512832Kitu kama hiki.