Recent content by namwakalima

  1. namwakalima

    JamiiForums Tanzania Janja ya Mo Dewj iko hapa

    mkuu WaTanzania ndivyo tulivyo.....shida zetu huwa tunatafuta sehemu pa kuzitulia, we are low minded people
  2. namwakalima

    JamiiForums Tanzania Tathimini Ya show Ya Diamond Dar na Iringa

    Ushahidi gani sasa? Kwamba kama ni kweli kulikuwa na show Iringa? Au ushahidi kwamba Vodacom wamehusika kwenye hizo show? Yaani team tembo hamueleweki.....!
  3. namwakalima

    JamiiForums Tanzania Kwa wakali wa draft

    Hii mbona sare kabisa...! Afungwi mtu hapo
  4. namwakalima

    JamiiForums Tanzania Azam FC imewatimua makocha wake wote raia wa Hispania

    Micho anaenda kuchukua nafasi ya Shakes Mashaba baada ya Afcon.
  5. namwakalima

    JamiiForums Tanzania Jinsi watu wanavyoibiwa wapenzi kwa kuchati tu

    Let me make one thing clear... Blah blah sitaki kusikia.
  6. namwakalima

    JamiiForums Tanzania Msigwa awachezesha kwata CCM Iringa

    Msigwa kawajali wana Iringa kwa lipi?
  7. namwakalima

    JamiiForums Tanzania MAAJABU: Nyoka afa na mmiliki wake Songea

    Rebirth katika mwili mwingine au katika nafsi ingine ? Yaani kutoka ng'ombe hadi chui?
  8. namwakalima

    JamiiForums Tanzania Bukoba vs Moshi

    Mbona unaweka na picha za Iringa na Mwanza?
  9. namwakalima

    JamiiForums Tanzania Nimetoka uwanja wa Samora, Diamond kaacha gumzo

    10,000/= kiukweli watu walijaa usipime...aiseee Diamond anapendwa haswa
  10. namwakalima

    JamiiForums Tanzania Salaam za Sikukuu

    Sasa ndo umeandika nini?
  11. namwakalima

    JamiiForums Tanzania Salaam za Sikukuu

    Chama Cha Mapinduzi "CCM" kinawatakia wananchi wote bila ya kujali itikadi zao wala dini zao Kheri na fanaka katika msimu huu sikukuu za Christmas na Mwaka mpya 2017. Umoja ni Ushindi.
  12. namwakalima

    JamiiForums Tanzania Kuna bonge La ubishi hapa wanajiografia wate

    Hata siku moja mwaka mpya hauji kwa muda mmoja kwa nchi zote duniani sababu ya utofauti wa masaa. Mfano Zambia,DRC,Burundi na Rwanda zipo saa moja nyuma yetu kwahiyo sisi Tanzania,Kenya na Uganda "45°E" tutaanza kuuona mwaka mpya mapema afu baada ya saa 1 ndo kina Zambia wanauona mwaka mpya...
  13. namwakalima

    JamiiForums Tanzania Mavazi yapi yalikua maarufu sana kipindi chako cha Kununuliwa NguonChristMass?

    Mkuu unajua brand huja na kupotea..... Ukivaa sasa hivi FUBU 05 utaonekana umetoka Sanya Juu huko.......ni sawa na brand ya Calvin Klein "cK"
  14. namwakalima

    JamiiForums Tanzania Mavazi yapi yalikua maarufu sana kipindi chako cha Kununuliwa NguonChristMass?

    FUBU stands for "For Us Before Us" group of 5 members.
  15. namwakalima

    JamiiForums Tanzania Carlos: Gaidi mtukutu zaidi kuwahi kutokea katika uso wa dunia

    We koma kabisa
Back
Top Bottom