chendelela
JF-Expert Member
- Mar 22, 2015
- 1,145
- 1,010
Licha ya kwamba ni mzawa wa huku haimaanishi natetea kuhusu uwepo wa uchawi,ninaamini upo kama ilivyo katika maeneo mengine nchi hii.hivi wewe huoni hata jina linajielezatu sumba Wanga
Ninachokikataa ni watu kurank sumbawanga km sehemu ambako uchawi ni tishio si kweli,unaweza kunieleza ni mkoa gani Tz ambako hakuna uchawi?