Msigwa awachezesha kwata CCM Iringa

Msigwa awachezesha kwata CCM Iringa

Hongera sana mbunge wa Iringa kwa kuwachezesha kwata kadri unavyotaka wapinzani wako CCM.

Sasa ni takribani wiki ya pili viongozi wa CCM wanashinda mitaani wakipaka rangi shule za msingi bila kupenda wakiwa na lengo la kutafuta ushawishi toka kwa wana Iringa bila mafanikio.

Hongereni wana wa Iringa kwa kukataa kudanganyika, mbunge wa kweli ni yule anayewajali wapiga kura wake na siyo kipindi cha kutafuta kuungwa mkono.
Kama mnataka maendeleo chagueni upinzani sehemu zote walizochagua upinzani mabadiliko wameyaona, na tena matatizo yao yameshughulikiwa barabara.
 
Usemayo ni kweli kabisa na hilo ni Fundisho kwa sehemu zinazo ikumbatia ccm
 
Ninyi si ndio mlisema mna ushahidi wa kutosha kwenye majukwaa? Haya mfikisheni Mahakamani na sasa yuko kwenu!!
Mwenye dhamana ya sheria na katiba alidai ana ushahidi pia, sasa kwanini asipeleke kesi mahakamani wakati mahakama ya mafisadi imeishiwa kesi?
 
Hongera sana mbunge wa Iringa kwa kuwachezesha kwata kadri unavyotaka wapinzani wako CCM.

Sasa ni takribani wiki ya pili viongozi wa CCM wanashinda mitaani wakipaka rangi shule za msingi bila kupenda wakiwa na lengo la kutafuta ushawishi toka kwa wana Iringa bila mafanikio.

Hongereni wana wa Iringa kwa kukataa kudanganyika, mbunge wa kweli ni yule anayewajali wapiga kura wake na siyo kipindi cha kutafuta kuungwa mkono.
Msigwa kawajali wana Iringa kwa lipi?
 
WanaIringa Mjini washa itapika ccm, siyo rahisi kula matapishi yao.
 
Kama mm nyumbu wewe Ngiri

Hatuhitaji kutukanana tujadiliane tu.Na yule Mgombea aliyekuwa tishio kwa nafasi aliyoipata Msigwa Iringa hivi karibuni kwa mtindo ule ule aliokatwa mgombea wetu wa urais kwa mwamvuli wa UKAWA alipokuwa mwana CCM naye kapigishwa kwata barabara na Msigwa ni kada wa CCM?
 
Hongera sana mbunge wa Iringa kwa kuwachezesha kwata kadri unavyotaka wapinzani wako CCM.

Sasa ni takribani wiki ya pili viongozi wa CCM wanashinda mitaani wakipaka rangi shule za msingi bila kupenda wakiwa na lengo la kutafuta ushawishi toka kwa wana Iringa bila mafanikio.

Hongereni wana wa Iringa kwa kukataa kudanganyika, mbunge wa kweli ni yule anayewajali wapiga kura wake na siyo kipindi cha kutafuta kuungwa mkono.
Watanzania tuna taabusana 2meshaanza angalia usoni kuwa uko mlengo gani wa kiitikadi na sio una wafanyia nini wananchi mungu atusaidie sana
 
Mungu tayari alisha tusaidia wana wa Iringa kutupatia mbunge bora mh Msigwa
 
Wana wa Iringa wanajua kazi tukufu za mh MSIGWA mbunge wa kudumu
NATAMANI CCM IRINGA IFIKE SIKU MOJA AAWAJIONE NI CHAMA HARAMU ! HATA HIVYO CCM IRINGA NI KAMA SENENE HUTOKEA MSIMU MMOJA NA PALIPO NA TAA YA UMEME
 
Wana wa Iringa wanajua kazi tukufu za mh MSIGWA mbunge wa kudumu
Punguza mahaba mkuu, wana wa Iringa hatuna na hatujawahi kuwa na mbunge wa Kudumu, BTW, kazi nzuri kwa huyu mbunge geneous Peter Msigwa.
Wana iringa tumepiga hatua katika mengi, japo changamoto bado ni nyingi..

Kule mufindi na Kilolo ni potential areas kwa kilimo especially cha mazao ya chakula na Mbao.. wale wabunge ni hopeless kabisa, tunahitaji new ideas, tunahitaji kutengeneza furniture kule tuwauzie hawa wachaga na wahaya.. na watu wetu wapige hela ndefundefu.
Umaskini bado upo na tunahitaji kuuteketeza kabisa ibaki story..
 
uyu jamaa kavuluga dil nyng za kifsad za madiwan, mkuregenz na wanyabiashara makada tiifu wa chama tawala 2010-2015. wanamchukia sana na kawashka pabaya. nakumbuka dili la kifsad la ujenz wa stand mpya lilichongwa na madiwan wa ccm wakapendekeza stand ijengwa karb kabsa na chanzo kikuu cha maji bila kujal madhara yatakayotokea, bac wakapeana viwanja vya kujenga frem makada watupu na wafanyabiashara makada. msigwa akatibua dil kuokoa chanzo cha maji. kuna madil ya viwanja kupewa kifisad akna AsSaSs na wafanyabiashara makada msigwa na diwan wake wakaztibua vwanja vkabak salama. na dil zngne nyng
 
Mkuu Msigwa ni kiboko ya mafisadi wa ccm mkoani Iringa
 
Hajui huyo mkuu, serikali haijafanya lolote kubwa Hapa iringa, ni Juhudi tu za Wana iringa, bidii na weredi, tunajituma kwenye shughuri za Kilimo, tunavuna mazao, tunasomesha watoto, tunaendesha maisba yeru, hatuna majungu, tunaishi na mtz yoyote kiroho safi, mradi tu asilete dharau maana atarudi alikotoka the same day,
Mji unanawiri hadi raha.. Kilimo kinalipa aisee...
tapatalk_1481287022266.jpg
 
Back
Top Bottom