mtanzalendo
Member
- Aug 29, 2014
- 74
- 121
Ndio nimetoka uwanja wa Samora. Show imeisha saa kumi. Kilichotokea leo sidhani kama imewai tokea hivi Iringa ni zaidi ya Fiesta.
Diamond kaua isivyo kawaida watu walikuwa wengi hakuna pa kukanyaga. Show imepigwa na live band kila kitu unasikia original kama imewekwa cd. Watu wamecheza wameimba ni furaha tu uwanjani.
Muda huu nazungumza iringa mjini ni kama mchana kila kona imejaa watu mapikipiki, matax, madaladala na bado watu hawajaweza kutosha wengi wanarudi home kwa kutembea maana usafiri hakuna.
Dah hii ni history, ni kwamba akisema arudie show ata kesho watu wanaeeza jaa marambili yake watu wamefirahi mno shangwe mpaka raha.
Nashukuru nimefika home Ilala salama.
God bless wasanii wetu