Wakuu kuna misemo naisikia mara nyingi hususan katika misiba na sielewi hasa maana yake, mwenye uelewa eneo hili naomba anieleweshe. Mfano, mtu anaposema "Tulimpenda zaidi huyu (yaani marehemu) lakini Mungu kampenda zaidi" Hivi Mungu anapenda mauti yatukute wanadamu? Hii kauli huwa...
Hili nalo neno, ni kweli hawa mashemeji wana hila nyingi mno, lakini pia mume ukiweka mipaka na heshima mbele, hawapati kitu, uzembe ni pale ambapo nawe unajiweka ki-kutegwategwa...
Wada nauliza hekima zenu:
Kuna jamaa katembea hadi kuzaa na shemeji yake (mdogo wa mkewe); imemuumiza sana mke na kumvunja moyo, ana watoto 3 na huyu mume wa ndoa, uhusiano na mumewe uko hatarini, na undugu na mdogo wake pia uko hatarini, hivi anatakiwa afanyeje?
Hivi ni kwa nini Watanzania wanaoishi nje ya nchi hawapati haki yao ya kupiga kura katika uchaguzi mkuu kama huu uliopita kama zinavyofanya nchi nyingine?
Mwenzenu ninatatizwa na maelekezo yanayotelewa na wafamasia au wauzaji ktk maduka ya dawa sehemu mbalimbali na hasa hizi famasi zilizo nje ya mji. Ukifanikiwa kusoma maelekezo katika box la chupa, limeandikwa 2.5mls after every 4 hours, lakini yule muuzaji anakuandikia 5mls X 3. Hii inakaaje? Je...
Huyu mtu anakuwa na recovery za kiakili na kimwili, kwa upande wa kimwili, Mwezi mmoja ni standard, kama bado anakumbukia adha za labor pain, hapo it could be more than a month.
Mimi nina ndugu yangu, ana tatizo kama hilo, hana mafua ile ya sana lakini akizinduka tu usingizini, hasa mishale ya saa 9 usiku na kuendelea hadi asubuhi, lazima apige chafya za nguvu na nyingi, hadi makamasi yamtoke kibao ndo anasikia ka-unafuu.
Ameshaenda kucheki hospitali (Agakhan na...
Usidanganyike dada, hawezi kubadilika. Kama unamkubali, ingia ktk ulingo wa ndoa ukijua hakuna kubadilika! Sana sana zaweza kuzuka mpyaaa ambazo hukuwahi kuziona ktk uchumba.
Maswali mengi yanayoulizwa yanahitaji jibu lenye maneno machache: wakati mwingine ni Neno MOJA tu, sasa kutaja tu nayo inahitaji confidence? Na wanaoenda walishajua cha kufanya ni kwanza kujua JIBU na timing ya kubofya. Nadhani kuna tatizo ya uelewa wa wanafunzi vyuoni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.