Pharmacists - Maelezo ya kutumia dawa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Pharmacists - Maelezo ya kutumia dawa

Discussion in 'JF Doctor' started by Nameless-, Sep 24, 2010.

 1. N

  Nameless- Member

  #1
  Sep 24, 2010
  Joined: May 21, 2009
  Messages: 47
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mwenzenu ninatatizwa na maelekezo yanayotelewa na wafamasia au wauzaji ktk maduka ya dawa sehemu mbalimbali na hasa hizi famasi zilizo nje ya mji. Ukifanikiwa kusoma maelekezo katika box la chupa, limeandikwa 2.5mls after every 4 hours, lakini yule muuzaji anakuandikia 5mls X 3. Hii inakaaje? Je kwa yule asiyeweza kusoma hayo maelekezo akamsikiliza tu muuzaji si ni hatari tupu mgonjwa?

  Nchi za wenzetu hakuna kutoa dawa bila maelezo ya daktari, lakini hapa kwetu....? Mfamasia anakuwa Daktari huyo huyo.
   
Loading...