Du kumbe na jirani yangu ni changuduoa anajiuza

Uchangu afanye mwanamke na ukimkuta jirani yako li baba zima linawania mwanao utasemaje?
 
Sio Ajabu

sababu hawa ambao tupo nao maofisini ndio Hattari zaidi kuliko hata wakununua ..

Nilishawah kumfatilia Dada ivi wa office flani JMall akaniambia una Hela Ama unaleta Mapenz ya Kuganda akataka Dola 500 for 2days (weekend) . Nilichoka

Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
 
Yaani ujanja wote mjini unapita hiyo njia na mkeo na mama mkwe. Watahisi ndo njia yako uliyozoea labda kuchukua malaya. Wenzio tunazungukaga mwenge.
 
Yaani ujanja wote mjini unapita hiyo njia na mkeo na mama mkwe. Watahisi ndo njia yako uliyozoea labda kuchukua malaya. Wenzio tunazungukaga mwenge.

Si unajua tena ndugu yangu ndo juzi tu nimetokea Katavi kwa mheshimiwa Pinda.Nimefanya makeke ndo nikahamia mjini so bado mie kuku mgeni bwana,anyway thanks kwa ushauri utazingatiwa
 
Sio Ajabu

sababu hawa ambao tupo nao maofisini ndio Hattari zaidi kuliko hata wakununua ..

Nilishawah kumfatilia Dada ivi wa office flani JMall akaniambia una Hela Ama unaleta Mapenz ya Kuganda akataka Dola 500 for 2days (weekend) . Nilichoka

Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums

Ndugu yangu dola 500 au dola 50.Dola 500 kwa rate ya sasa ivi ni karibia laki 8 mkubwa.Du labda kama uliondoka na K yake lakini kama alibaki nayo HAPANA BANA
 
Umemshangaa huyo dada,
ungeweza kukutana na binti yako ambaye unajua kuwayuko shule nzuri na unampa pesa ya matumizi ya kutosha, lakini pia anajiuza.
 
Kaka wengine huwa ni hulka tu ya kupigwa nao mshedede ndiyo maana wanafanya hivyo.

Kuna mdada muhasibu ofisi ya Waziri Mkuu, ila kitengo nimekisahau pale Waterfront na ni Changudoa maeneo ya African Hotel Casino.
 
Tatizo liko wapi? mchana anafanya kazi zake vizuri anamaliza, je akifanya kazi za ziada usiku kuna shida gani? ni ubunifu tu
 
Jirani yangu ni matatizo tu jamani, wala mimi cjapenda. By the way kwanini hujaniuliza ukaja kunijadili hapa JF.. Kufanya hivi haunisaidii !

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom