any day from the day she stops bleeding is good......
it all depend how fast she recovers back to the game
Muda wowote baada ya postpartum period (siku 45 baada ya kujifungua) na kwa kuzingatia afya ya mama na mtoto aliyezaliwa. Jamani wanaume muwe na subira hadi hapo wenzi wenu na watoto muliowazaa wanapokuwa stable kiafya!!!! Msipozingatia mtakuja chakachua afya za wake zenu bna watoto wachanga muliozaa, nawasilisha!!!