Recent content by Namane

  1. Namane

    JamiiForums Tanzania Bunge limetangaza vita dhidi yetu, wananchi tumelala

    Kumvua papa si kazi rahisi.
  2. Namane

    JamiiForums Tanzania Wanayofanyiwa watuhumiwa wa ugaidi Segerea

    Hivi ni kweli kwamba Jeshi la Magereza wameacha kushughulikia wahatuhumiwa na waharifu badala yake wanashughulikia waislamu? Sent from my GT-I8262 using JamiiForums mobile app
  3. Namane

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu aeleza kwanini walimchagua Lowassa kugombea Urais

    Kwa kuambiwa na wazungu mapungufu ya Lowassa uliyoyatangaza sana yakafutika!
  4. Namane

    JamiiForums Tanzania Ni lini serikali itapiga marufuku makanisa ya kilokole kwenye makazi ya watu.

    Wanaomcha Mungu unasema wanapiga kelele, je, walevi na wacheza dansi fujo zao hukuburudisha? Okoka ama hama hapo.
  5. Namane

    JamiiForums Tanzania Lowassa kwa busara zake ni zaidi ya kiongozi

    Zaidi ya kiongozi? Kweli ukiwa unafanya Siasa uwe na ngozi ngumu aisee. Ndio maana siasa inahusianishwa na uongo uongo na maneno mengi, ukianza kuongea saaana unaambiwa usilete siasa hapa. Ukiwa kigeugeu unaambiwa usilete siasa hapa. Na Ndio maana naelewa sasa ni kwanini Mtatiro aliweza kuandika...
  6. Namane

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Nimechoka na hii hali ya kuachwa na wanaume

    Amtegemeaye Mungu hafanyi uasherati kabla ya ndoa. Ndilo kosa lako.
  7. Namane

    JamiiForums Tanzania Startimes yatoa ufafanuzi kuhusu kuonekana chaneli za nyumbani

    "Ndugu mteja,muda wa kufurahia channeli kwa bure umeisha,lipia 6000 utafurahia chaneli 20 na za ndani kwenye kifurushi cha Nyota,lipia 12000 utafurahia mechi za Real Madrid, Barcelona na mechi nyingine za ICC kwenye kifurushi cha Mambo, piga 0764700800."
  8. Namane

    JamiiForums Tanzania Waziri Nape kwanini unajifanya kipofu, kiziwi kuhusu Free TV channels..? unaudhi

    "Ndugu mteja,muda wa kufurahia channeli kwa bure umeisha,lipia 6000 utafurahia chaneli 20 na za ndani kwenye kifurushi cha Nyota,lipia 12000 utafurahia mechi za Real Madrid, Barcelona na mechi nyingine za ICC kwenye kifurushi cha Mambo, piga 0764700800".
  9. Namane

    JamiiForums Tanzania Startimes Tanzania: Support thread (maswali, maoni na ushauri)

    Ndugu mteja,muda wa kufurahia channeli kwa bure umeisha,lipia 6000 utafurahia chaneli 20 na za ndani kwenye kifurushi cha Nyota,lipia 12000 utafurahia mechi za Real Madrid, Barcelona na mechi nyingine za ICC kwenye kifurushi cha Mambo, piga 0764700800
  10. Namane

    JamiiForums Tanzania Ufafanuzi kuhusu tunda la mti wa katikati

    Maandiko matakatifu yalifunuliwa na Roho Mtakatifu. Haya ya kwako umefuniliwa na nani?
  11. Namane

    JamiiForums Tanzania Kwanini Rais Magufuli anasemwa sana na hawa watu wawili Gado, Kipanya?

    Sababu ziko wazi, kubana wasio na nafasi na uwezo wa kusema (kwenye media) utadhani husemwi. Kuwarudisha kwenye mstari wa uadilifu watu waliopotoka na huku wana uwezo wa kwenye media, watafurukuta kukupinga tu. KEEP IT UP MAGUFULI.
  12. Namane

    JamiiForums Tanzania Serikali yaanza kuhujumu Mameya Dar es Salaam

    Najiuliza, huo msaada wa Nje ulikuwa na masharti ya kumwona kiongozi wa UKAWA ndipo itolewe? Jaribu kutumia Skype ili tupate hizo fedha.
  13. Namane

    JamiiForums Tanzania Uhusiano uliopo kati ya wasukuma na wanyamwezi

    Yawezekana jina Wanyamwezi lilitoka kwa Wagogo, yaani "wa Magharibi".
  14. Namane

    JamiiForums Tanzania Natabiri Zitto Zuberi Kabwe kuwa Waziri wa Magufuli

    You are right, na hilo tumeshaliona, mteule msemaji lakini uwezo wa kutenda ni ule usiolingana HKT.
  15. Namane

    JamiiForums Tanzania Wa mwisho ndiyo mshindi

    Usafi wa roho ni pamoja na kutopendelea filamu za x.
Back
Top Bottom