Tundu Lissu aeleza kwanini walimchagua Lowassa kugombea Urais | Page 5 | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tundu Lissu aeleza kwanini walimchagua Lowassa kugombea Urais

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by ndege JOHN, Jan 10, 2017.

 1. ndege JOHN

  ndege JOHN JF-Expert Member

  #1
  Jan 10, 2017
  Joined: Aug 31, 2016
  Messages: 3,107
  Likes Received: 4,482
  Trophy Points: 280
  Tundu Lissu aeleza kwanini waliamua kumchagua Lowassa kugombea Urais

  Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kimesema kiliamua kumchukua aliyekuwa waziri mkuu, Edward Lowassa, ajiunge na chama hicho baada ya kubaini katika utafiti maalum uliofanywa na shirika moja kutoka nchi za nje kwamba alikuwa na uwezo wa kubeba asilimia 18 ya kura zote katika uchaguzi mkuu kuliko mgombea mwingine wa urais katika uchaguzi mkuu uliopita.


  Hayo yalizungumzwa na Mwanasheria Mkuu wa Chadema, Tundu Lissu, wakati akihojiwa na Global TV Online ambapo alisema pia Lowassa aliongoza wagombea wote katika utafiti huo.


  “Wazungu wakatuambia hivi political personalities zote za Tanzania walimfanyia kila mmoja wao walimfanyia uchunguzi wake, wakatuambia hivi ‘katika wote hao ukimweka huyu na huyu, huyu bwana mkubwa Lowassa huyu yeye peke yake anatembea na asilimia 18 ya Tanzania voters,’ aliyekuwa anamfuata alikuwa na asilimia 11 tu. Kwahiyo Lowassa as Lowassa alikuwa na eighteen percent ya likeability ya kupendwa na hao Watanzania akienda huku anaenda na asilimia 18 ya ziada, akienda huku anaenda na asilimia 18 za ziada nyingine ongezeeni,” alisema Lissu.


  “Tukasema hivi, ‘tunataka kushinda uchaguzi eeh tuzungumze na Lowassa’ na Dkt Slaa akasema tuzungumze na Lowassa tukamwambia ‘Dkt una mawasiliano naye’ akasema ‘sina mawasiliano naye, ila kuna mtu ambaye anaweza akawezesha mawasiliano naye ni nani? Askofu Gwajima’ tunaelewana, so this how we got Edward Lowassa.”
   
 2. mgunga pori

  mgunga pori JF-Expert Member

  #81
  Jan 11, 2017
  Joined: Jul 23, 2016
  Messages: 1,088
  Likes Received: 969
  Trophy Points: 280
  Basi sawa
   
 3. yomboo

  yomboo JF-Expert Member

  #82
  Jan 11, 2017
  Joined: May 9, 2015
  Messages: 4,246
  Likes Received: 2,283
  Trophy Points: 280
  Enock Yusto we ni Me au Ke ??

  Umbea wa Facebook unauletaje huku??
   
 4. mtunzasiri

  mtunzasiri JF-Expert Member

  #83
  Jan 11, 2017
  Joined: Dec 24, 2012
  Messages: 1,348
  Likes Received: 801
  Trophy Points: 280
  Tuache porojo leteni hoja vipi mafisadi bado wapo Tanzania au wamekwisha kabisa? Kama wapo basi wapelekeni mahakama ya mafisadi kama hawapo basi Lowassa alistahili na ushindi ulionekana pande zote na tuhuma zake zote ni uonevu wa chama cha mapovu na wamuombe msamaha Lowassa.
   
 5. Namane

  Namane Member

  #84
  Jan 11, 2017
  Joined: Mar 7, 2014
  Messages: 63
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 15
  Kwa kuambiwa na wazungu mapungufu ya Lowassa uliyoyatangaza sana yakafutika!
   
 6. M

  Mama Obama JF-Expert Member

  #85
  Jan 11, 2017
  Joined: Mar 5, 2016
  Messages: 1,522
  Likes Received: 995
  Trophy Points: 280
  Demokrasia haiendi na upolaji wa Mali za wengi. Safisheni chama Chenu kwanza watoweni watu kama Mbowe, Lowassa watu wenye sifa mbaya za madeni ya Watanzania na mikataba mibovu kabla ya watu kuwaheshimu na kuwaamini kuwa nyinyi ni wapinzani wenye nia nzuri. Kwa sasa kuna madowa na kasoro nyingi sana kwenye hicho chama baada ya watu kama Dr Slaa kukihama chama hicho. Kwa sasa NDUGU zangu mnapoteza wakati, ukuta haujengwi na foundation ya muchanga utapolomoka. Chama chenu kinapolomoka huku mukiona.
   
 7. bhachu

  bhachu JF-Expert Member

  #86
  Jan 11, 2017
  Joined: Jul 29, 2015
  Messages: 4,071
  Likes Received: 3,023
  Trophy Points: 280
  Mimi ni mwana chadema, Ila kama reason ni hiyo kwakweli nmevunjika moyo saana
   
 8. c

  cumins JF-Expert Member

  #87
  Jan 11, 2017
  Joined: Dec 25, 2013
  Messages: 846
  Likes Received: 302
  Trophy Points: 80
  NASHUKURU MUNGU LEO TUMEJUA NIA YENU.
  LOWASA FISADI KUMBE NI UONGO NIA YENU MTUHADAE TUWACHAGUE.
  NCHI INAENDESHWA KIDIKTETA KUMBE UZUSHI.
  UCHUMI UNASHUKA UZUSHI JUU YA UZUSHI.


  HUKO MNAPOKWENDA NASUBILIA MSHIKANE UCHAWI TU.
   
 9. Gama

  Gama JF-Expert Member

  #88
  Jan 11, 2017
  Joined: Jan 9, 2010
  Messages: 9,224
  Likes Received: 1,411
  Trophy Points: 280
  kweli kabisa, ni njia nzuri ya kupata kisingizio cha kifo cha kisiasa, kwanini kufa kibudu wakati mchinjaji yupo. BTW, niambieni kamanda wangu Mnyika yuko wapi, mnajua, niambieni, tunamhitaji katika kipindi hiki cha chaguzi ndogo
   
 10. Rais2020

  Rais2020 JF-Expert Member

  #89
  Jan 12, 2017
  Joined: Jul 14, 2016
  Messages: 3,304
  Likes Received: 5,436
  Trophy Points: 280
  Poor
   
 11. zitto junior

  zitto junior JF-Expert Member

  #90
  Jan 12, 2017
  Joined: Oct 7, 2013
  Messages: 6,116
  Likes Received: 3,934
  Trophy Points: 280
  Chama kinaporomoka kwa basis ipi??? Njoo na statistical proof sio maneno neno tu afu unajiita MAMA OBAMA... as if her mom had a low IQ like urs.

  Nyie muache unafki kma kuupondea upinznai mlianza toka slaa akiwepo hadi mkasema ni babu na apishe uongozi chadema sijui chama kitamfia uchaguzi wa 2015....... leo hii ndo mnamuona slaa muhim kisa kaondoka chadema??? Basi munpe uwaziri au ukatibu mkuu wa chama chenu coz its so pissing ni kma mbowe leo mnamkandia but siku akisaliti chadema mtashangaa mnaanza kumsifia ooh sijui mpinzani wa kweli and all that.

  Nyie mtasema wana sifa mbaya na yote ila ukweli mnajua kuwa WATANZANIA WALIMCHAGUA LOWASSA NA MBOWE sasa kuwalisha maneno eti wananchi wanaona akina mbowe wana sifa mbaya ni kutukera sisi wanamageuzi maana chanzo ni NEC na JECHA ila lasihivyo tungekuwa ikulu sasa nachoshangaa mnakuja na propaganda eti sijui uongozi sijui lowassa mchafu and all that its so annoying

  Trust me lowassa amgeshindwa urais lazma angekata tamaa kabisa ya kuendelea na siasa na hata ccm wangemdharau sana ila unafkiri kwanni walizuia mikutano??? Target yao ni nani??? Tuache ushabiki na kuangali facts zilizopo mezani ndio tutajua ukweli ukwapi
   
 12. s

  samali2 Member

  #91
  Jan 12, 2017
  Joined: Nov 20, 2016
  Messages: 78
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 25
  Wasema wewe
   
 13. s

  samali2 Member

  #92
  Jan 12, 2017
  Joined: Nov 20, 2016
  Messages: 78
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 25
  Ukiwa original cdm uwezi vunjika moyo yaonekana wew ccm badilika usiwe bendera
   
 14. Idd Ninga

  Idd Ninga JF-Expert Member

  #93
  Jan 12, 2017
  Joined: Nov 18, 2012
  Messages: 1,956
  Likes Received: 534
  Trophy Points: 280
  2020 wakiambiwa Nape anafaa kwa 19 asilimi,wamchukue.
  2025 wakiambiwa makonda anafaa wAmchukue.
  2030,wakiambiwa polepole anafaa wamchukue.
  2035 wakiambiwa Idd Ninga anafaa wamchukue.
  waishi kwa tafiti na kufanya siasa kwa tafiti.
  kisha watashinda kwa tafiti na kuwa wanasiasa watafiti huku wakitawala tafiti na dola za kitafiti.
  wenzai wataendelea kushika nchi na si tafiti
  mwisho watabaki kupiga kelele
  timeibiwaaaaaaaaaaaaa,haya subirini tafiti za nje na nyie si mpo nje na watafiti wenu ni ZzzzzzZZZZZzzzzxx !!!!!!!!!!!!!
   
 15. Nyenyere

  Nyenyere JF-Expert Member

  #94
  Jan 12, 2017
  Joined: Sep 9, 2010
  Messages: 8,567
  Likes Received: 1,930
  Trophy Points: 280
  Yaani uchu wa ikulu unashinda national interests
   
 16. M

  Mama Obama JF-Expert Member

  #95
  Jan 13, 2017
  Joined: Mar 5, 2016
  Messages: 1,522
  Likes Received: 995
  Trophy Points: 280

  Chadema mumekwisha unless muwanyatuwe Mbowe na Lowassa they lack integrity watu hawawamini. Lowassa akachunge Ngo'ombe kama alivyoahidi na Mbowe aonyeshe mkataba wa jengo la NHC, Watanzania hawawezi kuongozwa na wapiga dili. wachache waliomuchagua Lowassa na Mbowe walikuwa hawawajui vizuri, warifikili Mbowe ni MWANASIASA na mfanya BIASHARA mashuhuri, lakini sasa wamegundua Mbowe ni mpiga dili kumbe utajiri feki wa dili, bado anadaiwa billioni 1.3 za Watanzania. Sasa huwezi kumuongoza mtu huku unamunyakulia Mali yake na aendekee kukuamini. Na Lowassa watu walifikiri anaonewa, kumbe ni simba kwenda kimya na watu wamemugundua. My free advice kisafisheni chama, wachuje wapiga dili wakae pembeni, persuade DR Slaa to join you as the leader, without that Chadema is dead by natural death take that to the bank, it is completely free.
   
 17. zitto junior

  zitto junior JF-Expert Member

  #96
  Jan 13, 2017
  Joined: Oct 7, 2013
  Messages: 6,116
  Likes Received: 3,934
  Trophy Points: 280
  Nice name to ur son there..... but i think He will feel so embarassed to realise her mum has such weak brains and poor analytical skills as far as politics is concerned.

  Ndo nakuiliza bado unapata wapi uhalali wa kumtetea dr slaa wakati akiwa chadema hujuwahi msifia kuwa ni kiongoz mzuri zaidi ulisema alikuwa babu na padri mzinifu cjui mzee wa maandamano and all that?? Sasa Iwaje ameondoka ndo unamuona kiongozi mzuri?? Kma sio unafki ni nini? jibu hilo swali kwanza

  Pia mbowe na lowassa wananchi wasiiowaaminj ni watu gani hao?? Unajua HAI ccm imefutwa 2015 sio udiwani wala ubunge..... pia una taarifa kuwa lowasa alipata kura zaidi ya million 6 hta kma mlichakachua zingine ila huoni wanavyoaminika na waliga kura... hapo hujawela ambao wanawapenda lakini hawakupiga kura unafkiriwana support ya watu wangapi nyuma yao??

  Kma unabisha ita mkutano jangwani au prwss conference then mruhusu mbowe na lowasa wafanye mkutano hapo jangwani ndio uje ulete feedback hapa kuwa watanzania hawawaamini ama lah......

  But pliz old lady upgrade ur thinking its so 1800s everytime u post here irritating comments its so disgusting and so pissing......

  Samahani kma nmetumia maneno makali ila simply UNAKERA SANA
   
 18. M

  Mama Obama JF-Expert Member

  #97
  Jan 13, 2017
  Joined: Mar 5, 2016
  Messages: 1,522
  Likes Received: 995
  Trophy Points: 280

  Problem ukweli unauma let us agree to disagree. Everyone with good judgement in character in leadership will salute Dr Slaa for his judgement to quit Chadema. To me he is the man of principal. Huwezi kumwita mtu fisadi kisha mala akijiunga na chama chako mala anakuwa musafi sasa huo ndiyo Unafiki. I stood by Dr Slaa for being a principled man, siyo watu wenye kutapatapa na maneno wasiokuwa na musimamo. Sorry if I irritate you, to me, I only irritate the cartels, watu ambao wanaubinafsi and that actually do not bother me. Mimi nafuata na kuamini haki za Watanzania wote. Sina time ya wadhurumaji na watu wenye kupiga siasa kwa manufaa ya matumbo yao. Huna haja ya kuomba samahani, una uhuru wa kuandika chochote lakini tu tofautiane bila matusi.
   
 19. zitto junior

  zitto junior JF-Expert Member

  #98
  Jan 13, 2017
  Joined: Oct 7, 2013
  Messages: 6,116
  Likes Received: 3,934
  Trophy Points: 280
  Haya naomba ujibu swali langu
  Principled man dr slaa hakumleta lowassa chadema??? Na kma alimleta inakuwaje useme ndo pekee alikuwa principled??

  Embu tuanzie hapa kwanza
   
Loading...