Recent content by Nakodoa tu

  1. Nakodoa tu

    Natafuta sim ya tecno W3 LTE dau langu 140000

    Ongeza elfu 60 hapo nikuuzie tecno boom j8,ina miezi mitano,taarifa za ununuzi zote zipo hadi menu yake.Rangi nyeusi.0718472929
  2. Nakodoa tu

    Wazaliwa wa mkoa wa Tanga tukutane hapa

    Tanga nyumbani kiasili,nashukuru na ajira pia nimebahatika pande hizi.
  3. Nakodoa tu

    WCF nimewavulia kofia

    Fanyeni biashara ya barafu za vifuko,mtaji wa laki na nusu unaanza,uza hiyo smartphone yako.Ukifata huu ushauri itakusaidia kupunguza povu ktk Mambo ambayo yapo wazi kabisa,kama ujaitwa wewe wenzio wameita,kung'uta vumbi na usimame tena.
  4. Nakodoa tu

    For JamiiForums Mobile users

    Njia nyepesi ya kuweka link kwenye thread,nawe njoo upate ujuzi hapa
  5. Nakodoa tu

    Msaada: Nimjibu nini huyu msafiri mwenzangu?

    Naogopa kutumia nguvu ktk kukushauri maana isije ikawa hilo gari ndio aina wa abiria wake.
  6. Nakodoa tu

    TV flat Samsung na ulaji wa umeme

    Tatizo ni ww,unatumia mda mwingi kuangalia hiyo tv maana ni mpya.Pia Unaonekana unaishi ktk nyumba za kupanga so ushindani wa matumizi ya umeme ni wa Kasi zaidi
  7. Nakodoa tu

    Je unaijua THE SPEAR OF DESTINY?Kile kichwa cha mkuki uliotumika kumchoma YESU ubavuni mwake???

    Hizo story Kuna jamaa mmoja hapa Tanga mjini anaitwa Big Memory ana story kama hizo.Nilichogundua kwa Big Memory hana akili vizur,so na ww naomba umchunguze huyo wa kkoo kijiwe story kama ni mzima.
  8. Nakodoa tu

    Angalia Rais Magufuli anakoomba misaada na mikopo utaelewa kwanini hatofanikiwa

    Ss tunawapa walimu wa kiswahili.Tusibeze!
  9. Nakodoa tu

    Wenzangu na Mimi wa MOVIES njooni hapa tuyajenge

    Mechanic ressurection hatari hiyo movie
  10. Nakodoa tu

    Wenzangu na Mimi wa MOVIES njooni hapa tuyajenge

    Kwanini usiweke Leo hizo website za free download?
  11. Nakodoa tu

    Nini kinamliza mwanamke kitandani?

    Mimi mwanamke akinisifia ndio namlingia,hela yangu kamwe ataisikia tu.Ukitaka hela yangu nikazie,hapo kweli nitatafuta heshima kwa nguvu(nitakuonga)
Back
Top Bottom