Wewe jombaa inaonekana n mtata sana.Kama ni mzuri na ana msambwanda, usiwe mkali sana... Pima upepo kwanza.. Anza mazungumzo ya kufahamiana kwanza, ukiona miyeyusho mchenjie.... Mtupie mizigo yake na mwanae
Kivipi mkuuWewe jombaa inaonekana n mtata sana.
Tuwekee picha yake ili tukusaidieWakuu nipo safarini nimekaa siti na mdada ana mtoto mkubwa na mabegi. Gari kwangu eti mizigo imemzidi. Bado sijamjibu natafakari kwanza. Naomba busara zenu nimjibu nini?
Wewe mchoyo jamaniInakera sana. hlf hapo bado dogo hajaanza kulilia vitu afakamie.
Kwani unaenda mbali sana mkuu kiasi huwezi kuvumilia mpaka mwisho wa safari?Inakera sana. hlf hapo bado dogo hajaanza kulilia vitu afakamie.