Natafuta sim ya tecno W3 LTE dau langu 140000

jimmy jay jay

JF-Expert Member
May 19, 2015
224
225
Wakuu natafuta sim ya W3 LTE iwe kwenye hali nzuri mm nipo dar/buza kanisan dau langu ni 140000.Nitafute kwenye namba 0652002828
 

Nakodoa tu

Member
Dec 30, 2016
21
75
Ongeza elfu 60 hapo nikuuzie tecno boom j8,ina miezi mitano,taarifa za ununuzi zote zipo hadi menu yake.Rangi nyeusi.0718472929
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom