Sijui hawa wanajeshi wana akili gani, kazi yao ni kunyanyasa wanachi na hakuna anae wakemea, hawana ustaarabu hata kidogo. Jambo dogo tu wameshatoa kichapo, mnawanyanyasa hawa wananchi hamjui wao ndio wanawalipa mishahara. hawa jamaa hawana kazi, wapeni kazi ya kuchimba mitaro kujenga barabara...