Tukiacha masihara na kujichua Tanzania tumeachwa bali sana kwa miundombinu ya usafiri kama barabara , bandari na viwanja vya ndege hapa Afrika Mashariki hii ni kiwastani wa urefu upana na ubora kiujumla kutokea za mijini hadi za masafa marefu. Anaebisha anitajie barabara mbili tu basi
Ndugu yangu umeisha fika kenya na uganda nakutembelea sehemu mbalimbali?ungekuwa umetembelea hizo sehemu hizo usingeandika uzi huu.mimi nimebahatika kuishi huko.Tukiacha masihara na kujichua Tanzania tumeachwa bali sana kwa miundombinu ya usafiri kama barabara , bandari na viwanja vya ndege hapa Afrika Mashariki hii ni kiwastani wa urefu upana na ubora kiujumla kutokea za mijini hadi za masafa marefu. Anaebisha anitajie barabara mbili tu basi
Muhimbili operates on 66 heart patients in 7days.
Saves Sh1.3bn, Emerges strongest among EA public hospitals.
![]()
President Jakaya Kikwete visits six year-old Habiba Khalfan Lipande at Muhimbili National Hospital after surgeons successfully treated her by plugging a vent in her heart using the new technology which needs no open surgery. Habiba comes from Mavumba village in Morogoro Region. (Photo: Freddy Maro of State House)
The Cardiac Centre at the Muhimbili National Hospital (MNH) has succeeded in filling holes in patients hearts by using a special device without opening up the chest as is usually done, medical reports at the MNH have confirmed.
Dr Hussein Kidanto, acting director general of the hospital, said that the use of special devices to treat heart ailments started last months, with 18 patients put to scanning on heart blood vessels and four being treated of blocked vessels.
A major treatment was to fill up a hole in the heart to allow blood vessels to reach a hole, which some infants are born with such a condition, he said.
In conducting those operations, specialist doctors at MNH worked with visiting heart specialists from the Prince Sultan Cardiac Centre in Riyadh, kingdom of Saudi Arabia, who paid a medical visit at the national facility from May 8 to 16, invited via the good offices of Muntanda Islamic Trust of Britain.
Soma zaidi: Home
Sasa sema uliyaona hayo kabla ya Kikwete? unajuwa ni nini hicho?
![]()
Bongo hamna barabara hata moja nzuri ya kujivunia East Africa..Hamna!!!
ni ufisadi tu uliotamalaki kila sehemu!barabara zote tulizojenga sisi si barabara bali zimepakwa lami tu!barabara japo zinazo itwa barabara ni za mcc ambazo hutukuzisamamia sisi,aibu kubwa kwa magufuli kodi zetu zimeishiwa kuliwa na wajanja ushahidi uko wazi!east africa -uganda na kenya tu mkuu-tafakari
Wakati tunapata uhuru China na Tanzania tulikuwa tuko Sawa kiuchumi leo hii china wanabarabara zipitazo juu ya milima miezi sita iliyopita wamejenga madaraja baharia gar zinapita
Hizi Barabara za Lami CCM wanazotamba nazo zinatuharibia magari, ni heri barabara za vumbi, nimetoka Singida kuja DSM kila baada ya KM chache wameweka Rasta, hizi Rasta zinaharibu sana haya magari yetu ya bei rahisi, wengine hatujamaliza hata mikopo. Hivi hamuwezi kuweka matuta ya kawaida na Vihashiria, ukipunguza mwendo kwenye rasta unaweza kusababisha ajali. Hizi barabara ni kodi zetu acheni kuziharibu sio kila mtu anaendesha Prado.
Kilometa moja ya barabara ya lami inatengenezwa zaidi ya 1b ambayo ni kiwango cha kimataifa!!!!Lakini barabara hizi zina muda wake zinatakiwa kuishi!!!!!!!na zisipoishi muda uliokusudiwa kuna sababu zifuatazo:-
1. kunashida ya kujengwa chini ya kiwango
2.kunashida ya kupatiwa matunzo
3.kunashida ya kupita vitu vizito kuliko uwezo wa barabara
Tafakuri hii inaweza kuondoa sifa za kijinga anazopewa Magufuli, na angekuwa waziri wa serikali kama china anahukumuwa adhabu kali sana
Watanzania wengi elimu yetu msingi wake mbovu kwahiyo mtu anayekariri anaonekana kama mwenye akili haina tofauti na mwenye kuzungumza kiengereza.....Tubadilike tujitambue
Ubadhilifu wa madaraka
Barabara chini ya kiwango kuna rushwa n.k
tunaongelea wakati mwenyekiti wa chadema hakujuwa hizo bara bara zitakuwa kama mipira ya kiume!! bara bara hazikudumu ata kwa miezi 6!! leo tumpe kura tunaumwa au!!?Inaelekea unaandikia mkono wa mavi au macho yako yanamakengeza hauoni vizuri...hakuna mtanzania utakayemdaganya kuhusu barabara...hadi mwenyekiti wako wa Chadema anajua kazi iliyofanywa na huyu bwana mkubwa na alishampa sifa kedekede...hebu pita humoo uone usivo na akili
http://youtu.be/j0xaIuEaX18