Recent content by Mzimasana

  1. M

    Najitokeza tena jamani,natafuta mke wa kuoa.

    Toa sifa za umtakae, niko serious kweli! Naomba uni pm tuzungumze tafadhali!
  2. M

    Sekretarieti Ya Ajira Na Filamu Ya "The Long Wait",,,,,!

    Hakuna urasimu wowote, mimi pia nimeenda kuchukua ya kwangu ijumaa, ukiwa na kitambulisho chako tuu wanakutafutia barua yako una sign kwamba umepokea then unaifungua na kuisoma kuona kama hawajakosea jina lako, na kama wamekosea unawaambia wanairekebisha hapo hapo. Kila la kheri!
  3. M

    Mapenzi

    Mmmh! angalia tuu isijekua unapoteza muda wako ukidhani unae kumbe kakuhama.
  4. M

    Natafuta mke kiukweli

    Sasa Chamchella ukikuta huyo mwanamke atakae kutafuta kwa namna hii pale tu unapomwona ukajihis humpendi itakuaje huoni utamsononesha huyo dada, au unataka kuniambia yeyote atakaekua tayari wewe poa tuu? naona bora tafuta huko uliko kama mtaani kwako au kwingineko kote utakua na nafasi nzuri ya...
  5. M

    Ujue ukweli kati ya mwingira na afro plus

    Mungu aliye hai atasimama katika hili na itajulikana nani ni miliki halali na kama walivyo fanyiwa efatha ni haki au la!
  6. M

    Anyone who is serious pls?

    Some details of that idea plz!
  7. M

    GONGO LA MBOTO Polen sana huko

    Its true Murefu, also am very sorry 4 them!
  8. M

    Hi guys!

    Habari zenu bana, napenda kuungana nanyi ktk ku share ideas na experience mbalimbali za maisha, mimi naitwa Mzimasana, 2ko pamoja!
Back
Top Bottom