Najitokeza tena jamani,natafuta mke wa kuoa.

Najitokeza tena jamani,natafuta mke wa kuoa.

Mnyella

Member
Joined
Aug 8, 2012
Posts
43
Reaction score
6
KWA MARA ZINGINE TENA NAJITOKEZA HAPA KUTAFUTA MKE WA KUFUNGA NAE NDOA NA SIO KUCHAT,NILICHOJIFUNZA MM SIJUI KWA WENZANGU,WENGI WA WANAWAKE HAPA WAMEKUWA MAFUNDI WA KUTAMKA KUWA WANAITAJI MUME MDOMONI TU NA WANAJISIKIA RAHA SANA KUWA HIVYO LAKINI SI WAKWELI KATIKA UTEKELEZAJI.MM NATAFUTA MKE WA KUOA SITAKI MWANAMKE WA CHATTING WA KUKUSANYA MAWAZO,NATAFUTA MWANAMKE WA KUFUNGA NAE NDOA,NINA MIAKA 45.YULE MWANAMKE ALIE TAYARI KUFUNGA NDOA NA KUANZISHA FAMILIA,TAFADHALI NI PM AU TUWASILIANE KWA mnyella@ovi.com
 
Toa sifa za umtakae, niko serious kweli! Naomba uni pm tuzungumze tafadhali!
 
Back
Top Bottom