GONGO LA MBOTO Polen sana huko

MUREFU

JF-Expert Member
Oct 1, 2010
1,331
349
WanaJF polen sana wote mliokuwa mnaish na wenye ndugu huko GONGO LA MBOTO mana hal ni mbaya sana kwa jins nilivyo kuwa nimeona mm
 
kweli kabisa MUREFU, nami nawapa pole sana wana JF pamoja na watanzania wote waliohathirika kwa namna yoyote ile kwa haya mabomu ya G/Mboto!
 
WanaJF polen sana wote mliokuwa mnaish na wenye ndugu huko GONGO LA MBOTO mana hal ni mbaya sana kwa jins nilivyo kuwa nimeona mm

Mkuu pole zako tunazipokea asante sana lakini hapa si pa nafasi za kazi?
 
Polen sana... lakin huku wakilisha salam za pole sio penyewe mkuu
 
tumshukuru maulana kwa yote yaliyosibu na kwa sasa hivi mioyo yetu iingie huruma zaidi , ili tuweze kuwasaidia wenzetu wa gongo la mboto kwa wakati huu mgumu.
 
Lakini mimi nauliza hivi. wale panya waliyo graduate kwani hawana uwezo wa kupima dalili hizi za mabomu kulipuka?. au wako maabara bado.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom