Ujue ukweli kati ya mwingira na afro plus | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ujue ukweli kati ya mwingira na afro plus

Discussion in 'Jukwaa la Sheria (The Law Forum)' started by hosan, Apr 12, 2012.

 1. h

  hosan Member

  #1
  Apr 12, 2012
  Joined: Feb 10, 2012
  Messages: 45
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Wanajf katika gazeti la mwananchi la leo imetolewa taarifa kwa umma kuhusu ukweli wa umiliki wa kiwanja kinachogambaniwa kati ya Efatha na Afro Plus pamoja na sakata zima la polisi. taarifa imeambatanishwa karibu
   

  Attached Files:

 2. M

  Mwamakula JF-Expert Member

  #2
  Apr 12, 2012
  Joined: Nov 7, 2010
  Messages: 1,893
  Likes Received: 91
  Trophy Points: 145
  Hii taarifa ni sahihi na ni nyaraka muhimu ya ushindi mahakamani,tatizo ni papara za Mwingira na unabii wake! ameibiwa mgogoro mkubwa na waislamu na sasa anatuhumiwa kuchoma koran. mshauli atulie Mahakama itende haki na sio Fanaticism.Hakuna imani inayotuongoza kuharibu mali za Waislam.Huwezi kumutetea Mungu kwa uhalifu halafu ukasema amekugania,huo ni upotofu!
   
 3. M

  Mwamakula JF-Expert Member

  #3
  Apr 12, 2012
  Joined: Nov 7, 2010
  Messages: 1,893
  Likes Received: 91
  Trophy Points: 145
  Hiyo document aliyotoa mwishowe watasema amekwenda kinyume na kuhukumu mwenyewe na kujipa ushindi
   
 4. U

  UTAJUA Member

  #4
  Apr 12, 2012
  Joined: Apr 4, 2012
  Messages: 68
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kulingana na habari zilizotolewa Jumatatu na Jumatano kupitia TElevisheni ya ITV, inaonekana wazi mmiliki halali wa Kiwanja ni Efatha Foundation.

  Kinachosikitisha ni kwamba maamuzi ya Court (mahakama) hayajafuatiliwa na Afro Plus kama ilivyo Tenants (wapangaji) makampuni mengine waliokwisha ondoka mahali hapo akiwemo SIMION Engineering n.k.

  Sasa kama Efatha walinunua hiko kiwanja kwa ajili ya matumizi yao, Watakaa na kusubili mpaka lini huyo mmoja Afro plus aliyebaki aondoke?

  Serikali iko wapi?, Wasilaumiwe wamevunja Sheria, SERIKALI INACHANGIA katika hili, ila kama hawapo tayari basi MUNGU Atawasimamia watoto wake.:nod:
   
 5. M

  Mzimasana Member

  #5
  Apr 12, 2012
  Joined: Dec 13, 2010
  Messages: 11
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 3
  Mungu aliye hai atasimama katika hili na itajulikana nani ni miliki halali na kama walivyo fanyiwa efatha ni haki au la!
   
 6. Shinto

  Shinto JF-Expert Member

  #6
  Apr 13, 2012
  Joined: Dec 6, 2010
  Messages: 1,781
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  'mungu' wa utakaso! hahaha.......
   
 7. Filipo

  Filipo JF-Expert Member

  #7
  Apr 13, 2012
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 9,330
  Likes Received: 210
  Trophy Points: 160
  Serikali yetu huwa inasubiri "maji yamwagike kwanza ndio waanze kutafuta namna ya kuyazoa"
   
 8. Idimi

  Idimi JF-Expert Member

  #8
  Apr 13, 2012
  Joined: Mar 18, 2007
  Messages: 10,219
  Likes Received: 2,084
  Trophy Points: 280
  Kazi ipo.
  Ukute kuna fisadi aliwauzia eneo kisiri hao Afro Plus kwa utapeli, unaweza kuta nao wana nyaraka halali za kumiliki eneo hilo. Ngoja tusubiri maamuzi ya mahakama.
   
 9. B

  Bajabiri JF-Expert Member

  #9
  Apr 13, 2012
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 9,755
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  Mbona mig0goro ya ardh inamuandama xana mwingra?
  Bagam0yo aliparuana na wanakijij,cjui imeisha?
   
 10. Gama

  Gama JF-Expert Member

  #10
  Apr 13, 2012
  Joined: Jan 9, 2010
  Messages: 9,224
  Likes Received: 1,411
  Trophy Points: 280
  Hata kule sumbuwanga, wananchi walimshikia nyengo.
   
 11. K

  Kivia JF-Expert Member

  #11
  Apr 13, 2012
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 278
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  Makanisa mengi ni magenge ya wahuni.
   
 12. h

  hosan Member

  #12
  Apr 13, 2012
  Joined: Feb 10, 2012
  Messages: 45
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  jamani hapa chini ya jua hakuna haki, ukisubiri haki utazeeka wala usione, hapo tuombe hekima ya viongozi wetu watukufu na mungu awasaidie waweke udini pembeni watende haki. pia wewe afro plus acha chokochoko kama unajua una haki kwanini uendelee kunga'angania hapo au unalako jambo, hivi watz tunaweza kwenda India, kwenu tukafanya hivyo? mbona watanzania mnatuonea hivi? vibovu tuletewe sie, wanyama wetu mnachukua tunawaangalia tu, dhahabu ndio msiseme, sasa ulivyomjinga umeona pesa ulizoonga hazifanyi kazi unaanza kuwaingiza waislamu ili ionekane kama ugomvi sio kiwanja tena bali ni vitabu vya dini. mjinga kabisa tena ukome. na kama kweli nyie ndungu zangu shekhe ponda mnakaa vikao na huyu mtu kwa ajili ya vipesa vyake mbuzi ambavyo anatumwa na wahindi wenzie tafadhali nawasihi angalieni upande wa pili wa shilingi huyu jamaa anataka awatumie kupata anachotaka akishapata anaenda kwao sisi tutabaki tunapigana na kuuana yeye hatakuwepo.

   
 13. Gama

  Gama JF-Expert Member

  #13
  Apr 13, 2012
  Joined: Jan 9, 2010
  Messages: 9,224
  Likes Received: 1,411
  Trophy Points: 280
  Wakati wewe ukidai kuwa Mungu atawasimamia-wao:efatha wameshaamua kutumia misuli yao kupata haki yao sasa sijui kwanini unailaumu serikali.
   
 14. grey

  grey Senior Member

  #14
  Apr 13, 2012
  Joined: Apr 21, 2010
  Messages: 159
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 33
  Siku zote ugomvi unakuja ukiwa na kitu na pale unapo shika eneo ambalo ni muhimu...Huna kitu huwezi kugomambania ardhi. Bagamoyo kuna eneo la shule ya Efatha Seminary ambamo wananchi walivamia na kujenga ndani ya eneo la shule. Wametimuliwa wote na pamebomolewa. vivyo hiyo sumbawanga kuna eneo kubwa la shamba la Efatha, raia walivamia, wakajenga na kufanya makazi, wote wameondolewa. Ipo siri katika migogoro hii sio bure, kuna chokochoko lakini hazitashinda. Naona wanaanza kubalilisha mada iwe ya kidini...

  waswahili husema "ukicheka na nyani utavuna mabua"
   
 15. dubu

  dubu JF-Expert Member

  #15
  Apr 13, 2012
  Joined: Oct 18, 2011
  Messages: 3,071
  Likes Received: 421
  Trophy Points: 180
  tuwekeeni hapa hiyo docomaa tuisome wote. wengine twatumia simu. tunaomba mwenye uwezo aibandike hapa.
   
 16. MANGUNGO

  MANGUNGO JF-Expert Member

  #16
  Apr 13, 2012
  Joined: Aug 30, 2011
  Messages: 1,538
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 133
  Mwingira ana miliki benk,estate sumbawanga,kibaha na bagamoyo na fedha nyingi tu!lakini vyanzo vya mapato havijulikani!
   
 17. CAMARADERIE

  CAMARADERIE JF-Expert Member

  #17
  Apr 13, 2012
  Joined: Mar 3, 2011
  Messages: 4,427
  Likes Received: 158
  Trophy Points: 160
 18. U

  Uncle Jei Jei JF-Expert Member

  #18
  Apr 13, 2012
  Joined: Jan 7, 2011
  Messages: 1,200
  Likes Received: 942
  Trophy Points: 280
  sadaka,michango mbalimbali na misaada kibao toka kwa wahisani!!!
   
 19. elmagnifico

  elmagnifico JF-Expert Member

  #19
  Apr 13, 2012
  Joined: Jul 7, 2011
  Messages: 7,913
  Likes Received: 7,457
  Trophy Points: 280
  hawa watauana, jamaa kazua timbwiri na waislamu sijui litaishaje.
  Ila wamekosea sana kuchukua sheria mkononi hapa inabidi sheria ifanye kazi kweli haijalishi eneo lilikuwa lake au lah as long as kesi ilikuwa mahakamani.
  Halafu huu mgogoro ulikuwa between mwingira na mwenye kiwanda sema jamaa kaufanya ugeuke wa dini sidhan kama kingekuwa kiwanda cha kutengeneza bible kama wakristo wangelichukulia ni mgogoro wa kidini pia.

  Na haya makanisa yan siri nyingi aisee japo kila mtu ana uhuru wa kuabudi lakini kuna siri nyuma ya haya makanisa yanayo ibuka kila la leo
   
 20. h

  hosan Member

  #20
  Apr 13, 2012
  Joined: Feb 10, 2012
  Messages: 45
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  kulingana na vyanzo vya habari vimesema huo ni mpango wa mwenye kiwanda cha Afro Plus ametengeneza lakini ukweli sio kama hawa jamaa walifanya fujo. maana anachotaka baada ya kuona kuwa kesi inamshinda ametafuta namna ya kumfirisi Mwingira akaona achome moto kiwanda ili ionekane kama efatha ndio wamefanya hivyo . maana hata police walisema kulikuwa na mapanga, jambia lakini waandishi wa habari waliokuwepo hawakuona hivyo pia police wetu ni wajinga sana pia nina wasiwasi wameishie darasa la 4 maana wakiambiwa kitu awareason hata kidogo sijui wajina kiasi gani. anyway nilikuwa naangalia kule mwanza wanavyopigwa wabunge wa chadema nilisitikitika sana mungu yupo ila police wajue nao wana mungu siku ya hukumu watahukumiwa kama wengine siku hiyo hawatasema nilitumwa au nilishindikizwa lablda kama wao wameshachagua sehemu yao.

   
Loading...