Recent content by mzee wa nguna

  1. M

    JamiiForums Tanzania 85,000 tu unapata Fremu ya biashara Kariakoo

    kasema ghorofani. Usikute fremu ipo 5th floor jengo lisilo na lifti wateja wa kutafutia Insta
  2. M

    JamiiForums Tanzania Wapi naweza kupata eneo zuri la kujenga jijini Dar Es Salaam?

    Kisemvule ni wapi? Ni Barabara ya morogoro kweli? Ninayoijua mimi ipo huko Mkuranga - Kimanzichana huko Barbara ya Mtwara
  3. M

    JamiiForums Tanzania Wapi naweza kupata eneo zuri la kujenga jijini Dar Es Salaam?

    Na mimi natafuta, barabara ya Morogoro. Bei isizidi Milioni 10
  4. M

    JamiiForums Tanzania Natafuta Mchumba (mke mtarajiwa): Makazi Mbeya mjini

    Aiseee, Unatarajia kufunga ndoa mwaka huu lakini ndio kwanza bibiharusi anatafutwa? o_O Anyway, 4 months to go.
  5. M

    JamiiForums Tanzania Mwezi ujao napata milioni 30. Naomba ushauri namna ya kuzitumia

    hii inaweza isitoshe kama hana jengo la kuanzia,
  6. M

    JamiiForums Tanzania Maandamano ya CHADEMA ni ishara tosha ya kukata tamaa ya wao kuchukua dola

    sawa wamekusikia Dustbin a.k.a jaba la taka. Natumaini watajirekebisha
  7. M

    JamiiForums Tanzania Picha: Rais Samia ashiriki mazishi ya kitaifa ya Dkt. Hage Geingob

    R. I. P The late President, Dkt. Hage Geingob
  8. M

    JamiiForums Tanzania Niwekeze kiasi gani UTT AMIS ili gawio langu kwa mwezi ifike 250k

    Kwa wastani uwekezaji katika mifuko ya UTT unazalisha faida kidogo kidogo. Mfano, Ukiwekeza milioni 10 za kitanzania unaweza kuambulia wastani wa shilingi 2000 hivi kwa siku, sawa na shilingi 60,000 kwa mwezi. Si haba kwa pesa ambayo hujatolea jasho kabisa.
  9. M

    JamiiForums Tanzania Serikali yaomba Benki ya Dunia kusaidia upatikanaji wa Dola za Marekani

    Hebu nikumbusheni Waungwana hii situation ya kukosekana kwa Dollar kiasi hiki huko nyuma imewahi kutokea? Chanzo ni nini hasa?
  10. M

    JamiiForums Tanzania Basi kampuni ya Freys limepata ajali

    Mkuu unafanya kazi traffic makao makuu?
  11. M

    JamiiForums Tanzania Magari kutoka Singapore

    Duh, nilikuwa najipanga kulipia gari kutoka Singapore ila huu uzi umeni-put off
  12. M

    JamiiForums Tanzania Utafiti: Madhara ya Upweke ni sawa na Kuvuta Sigara 15 kwa siku

    Inatakiwa isemwe pia nini kifanyike ili kuepuka hali hiyo
Back
Top Bottom