Matty96
JF-Expert Member
- Jul 1, 2013
- 215
- 194
Msaada kwa anayefahamu utaratibu mzuri wa kuingiza magari kutoka Singapore. Maana nilifahamishwa kwamba yenyewe yakiingia nchini yanakuwa hayana certificate of inspection na hivyo inabidi kupeleka NIT likakaguliwe.
Kwa anayejua costs za ukaguzi NIT na taratibu zingine na kama ni lazima kwa gari zote kutoka Singapore au kwa baadhi tu ya kampuni?
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa anayejua costs za ukaguzi NIT na taratibu zingine na kama ni lazima kwa gari zote kutoka Singapore au kwa baadhi tu ya kampuni?
Sent using Jamii Forums mobile app