Ni pale JK na makamanda wake wa jeshi walipo umbuliwa hadharani mchana peupe. Msemaji wa jeshi amewaonesha watanzania upeo duni wa kufahamu mambo walio nao makamanda wa jeshi.
Hii itakuwa fundisho kwao, hawasomi alama za nyakati, hivi unathubutu vipi kiongozi mwenye dhamana ya kulinda maisha...
Ah! sisi hao tumeisha choka nao.
Hakuna cha wataalamu waJWTZ wala Wachina, most of our army generals are mbumbumbus!.
Hata wao hawakujua kama yanaweza kulipuka endapo yanaifadhiwa hovyo.!
Libyan leader Muammar Gaddafi will fight a popular revolt to "the last man standing," one of his sons said on Monday as people in the capital joined protests for the first time after days of violent unrest in the eastern city of Benghazi.
Anti-government protesters rallied in Tripoli's...
Huyo jamaa hajui anaongea nini inaelekea na yeye yupo jeshini kisiasa zaidi, ni mbumbumbu asiye jua mambo yanayo endelea duniani.
Mfahamisheni kuwa wapo majenerali kadhaa wa majeshi ya marekani na Uingereza mbao wamejiuzuru miaka ya hivi karibuni (vita ya Afghanstan na Iraq) katika hali ya...
Ndugu JK, nadhani sasa ni wakati muafaka kwako kutumia madaraka uliyo kabidhiwa na wananchi kama mkuu wa nchi, kiongozi wa serikali na amiri jeshi mkuu wa majeshi yote.
Tunatarajia,kwa hili la gongolamboto waziri wa ulinzi na mkuu wako wa majeshi hutaruhusu kwa mara nyingine waendelee...
Ahsante sana rafiki, but I think sio vizuri ku-generalize kila kitu bila ya kuwa na
ushahidi wa kisayansi.
Nimeshindwa kukuelewa unaposema kuwa wote wanafanana kwa kigezo eti cha kuchukukua magari ya mkopo wa bunge.
Lazima uelewe kuwa magari hayo hayatolewi kama hisani au rushwa kwa hawa...
'' wananchi wakidai haki yao,risasi, mabomu ya machozi vinatumika dhidi yao na hata kuwajeruhi na kuwauwa''
ila ''wakubwa wakivurunda mambo na kusababisha hasara na vifo kwa wananchi wanapongezana kwa kugonga bilauri za mvinyo na bia''
Kwa mara nyingine tena nitoe pole kwa watanzania wenzangu waliopatwa na janga la mlipuko wa mabomu hapo juzi. Namuopmba mwenynezi Mungu awape faraja kwa rehema zake!
Nirejeree kauli ya serikali iliyotolewa na mh rais usiku wa kuamkia leo juu ya msiba wa kitaifa uliosababishwa namlipuko wa...
inapotokea maandamano ya kuipinga serikali haichukui sekunde askali wa kutuliza ghasia kufika eneo la tukio na kupiga mabomu.
Ila yanapotokea maafa ya wananchi kupoteza maisha kama ya kule gongo la mboto mbona hao askali hawaonekani kuja kuokota hayo mabomu mpaka muda huu...
Hutakiwi kulalamika kana kwamba hujui hali halsi inavyoendelea hapa nchini. Nivizuri tukaacha tabia ya ubinafsi ambayo ndiyo imetufikisha katika matatizo tuliyonayo leo hii.
Kimsingi, suala la wewe kukosa ndege ya kusafiria kwetu halina nafasi sana kwani hayo ni mambo yako binafsi. Hivi sasa...
Whatever the case, Idadi ya waliokufa sio issue hata kama angekufa mtu mmoja bado sio halali kwa mtu kuuawa kwa uzembe wa watu fulani. Yafaa wahusika wawajibike!
Labda mtuambie ni maiti wangapi wanahitajika ili kiongozi ajiuzulu kwa uzembe?
''Tabi ya kulindana kwa...
Ni hatari kuwa na serikali ya watu mbumbu, wapuuzi lakini wenye kiburi na dharau kwa watu waliowaeweka madakani.
Je, watanzania kwanini bado tunakuwa na vichwa ngumu ya kutotaka kujifunza?
''WE SHALL NOT BLAME OUR ENEMIES FOR OPPRESSING US BUT LET'S BLAME...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.