Kuchelewa kwa mishahara ya wafanyakazi wa umma mwezi Februari

AMA KWELI WATZ TUNATESEKA, MSHAHARA KISHERIA UNATAKIWA UTOKE LINI? MAANA HAINGII AKILINI MWISHO WA MWEZI HAUNA KITU. Je SERIKALI INALIONAJE HILI MPAKA TUANDAMANE AU TUITISHE VIKAO

TUOMBA TAMKO KUTOKA HAZINA NA SERIKALI ZA MITAA AU MNAZIFANYIA BIASHARA MISHAHARA YETU
 
serikalini kote hali ngumu sijui nchi ina nini hii mishahara hakuna mpaka sasa sehemu nyingi
 
Na wasilipe kabisa ili tujuwe RAHA ya kuwatunza viongozi wa serikali ya CCM.

CCM sasa hivi wanahaingaika kuwaletea MAISHA Mazuri na nyie mnalalamika hamna mshahara?

Subirini wakopeshane magari na kupeana nyumba za Serikali.

Spika wanamalizia nyumba yake na bwawa la kuogelea maana ile ya Urambo, iko mbali.
 
na waalimu ndio huwa mnatumika sana kwenye mambo mengi ya CCM sababu wanajua tu kuwa ninyi ni waoga so subirini kwanza serikali ikakope hiyo mishahara maana uzalishaji umeshuka!
AMA KWELI WATZ TUNATESEKA, MSHAHARA KISHERIA UNATAKIWA UTOKE LINI? MAANA HAINGII AKILINI MWISHO WA MWEZI HAUNA KITU. Je SERIKALI INALIONAJE HILI MPAKA TUANDAMANE AU TUITISHE VIKAO

TUOMBA TAMKO KUTOKA HAZINA NA SERIKALI ZA MITAA AU MNAZIFANYIA BIASHARA MISHAHARA YETU
 
na waalimu ndio huwa mnatumika sana kwenye mambo mengi ya CCM sababu wanajua tu kuwa ninyi ni waoga so subirini kwanza serikali ikakope hiyo mishahara maana uzalishaji umeshuka!

Ndio mjue mnapoambiwa ukweli na muwe mnatafakari kwa kutumia akili zenu, hiyo mishahara mpaka tarehe 15 na mtapokelea dirishani fungeni mikanda!
 
AMA KWELI WATZ TUNATESEKA, MSHAHARA KISHERIA UNATAKIWA UTOKE LINI? MAANA HAINGII AKILINI MWISHO WA MWEZI HAUNA KITU. Je SERIKALI INALIONAJE HILI MPAKA TUANDAMANE AU TUITISHE VIKAO

TUOMBA TAMKO KUTOKA HAZINA NA SERIKALI ZA MITAA AU MNAZIFANYIA BIASHARA MISHAHARA YETU
mkiandamana mtaitwa wadini au wafuasi wa chadema
 
poleni sana,hapo ndipo penye tataizo na ufumbuzi wa swali letu nyeti na tata la "eti kwanini elimu"ya tanzania inashuka.
 
AMA KWELI WATZ TUNATESEKA, MSHAHARA KISHERIA UNATAKIWA UTOKE LINI? MAANA HAINGII AKILINI MWISHO WA MWEZI HAUNA KITU. Je SERIKALI INALIONAJE HILI MPAKA TUANDAMANE AU TUITISHE VIKAO

TUOMBA TAMKO KUTOKA HAZINA NA SERIKALI ZA MITAA AU MNAZIFANYIA BIASHARA MISHAHARA YETU

mnauliza mavi choooni

si muandamane tuje nyuma yenu
 
Back
Top Bottom