Recent content by mwirumuja

  1. M

    JamiiForums Tanzania UTEUZI: Rais Magufuli amteua Anna Mghwira kuwa Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro

    Anastahili kwa kweli.
  2. M

    JamiiForums Tanzania Happy birthday to Jr

    Happybirthday mkuu jr.
  3. M

    JamiiForums Tanzania Hatimaye miss Tanzania ajinyakulia gari ya aina yake

    Mkuu umenichekesha hadi machozi.khaa!
  4. M

    JamiiForums Tanzania Benki Kuu ya Tanzania (BOT) yaifutia leseni benki ya FBME

    Hilo haliwezekani mkuu,maana ilikuwa siri kubwa mno.ni kwamba staff mnafika kazini kama kawaida,halafu ghafla wanakuja ma officer wa BOT na FFU wenye silaha,mna handover kila kitu.so huwezi kutoka na amana za watu mkuu.
  5. M

    JamiiForums Tanzania Mvua kubwa jijini Dar - Mei 8, 2017

    Niko city centre maeneo ya posta inanyesha pia wakuu.
  6. M

    JamiiForums Tanzania Pumzika kwa amani mdogo wangu

    Pole sana mkuu,pumzika kwa amani mtoto wetu.
  7. M

    JamiiForums Tanzania Viongozi wa dini zingatieni kujali mda katika ibada mnatukwaza waumini wenu.

    Na wakati mwingine inasababishwa na wingi wa mizunguko ya kutoa sadaka,mnazunguka hata mara 5.kwa nini msiweke mzunguko mmoja,halafu mkajua wenyewe jinsi ya kuzi bajeti?
  8. M

    JamiiForums Tanzania TANZIA: Mwanachama mwenzetu, PakaJimmy amefiwa na mwanae ajali ya basi Arusha

    Inaumiza sana kwa kweli,pole mwana jf mwenzetu.
  9. M

    JamiiForums Tanzania Kanali Muammar Gaddafi (1942 - 2011)

    Safi sana mkuu,inawezekana tabia ya kujiuzulu na kurudi tena madarakani,bwana yule wa CUF alijifunzia kwa Muammar.
  10. M

    JamiiForums Tanzania Tanganyika Law Society kumburuza mahakamani RC Makonda

    Mkuu big up,unaona mbali sana.
  11. M

    JamiiForums Tanzania Flora Mbasha kufunga ndoa wiki ijayo

    Kuna watu wana roho ngumu haswa mkuu.
  12. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Msaada Samsung S7 Edge..!!!!

    Haijaondolewa mkuu,iliyoondolewa ni SAMSUNG NOTE 7.
  13. M

    JamiiForums Tanzania Fahamu mita za LUKU zinazofungwa majumbani

    Safi mkuu,nami pia nilitaka kujua hili
  14. M

    JamiiForums Tanzania Tumetoka Mbali : Kumbi za Sinema enzi hizo siku za Weekend

    Kule Singida kulikuwa na FURAHA CINEMA,move ya ANDHA KANOON ya AMITHA BACHAN kwa mara ya kwanza niliiona pale.
  15. M

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Watu wa Mkuranga wanalalamika kupigwa na Polisi

    Nchi ya vi wonder
Back
Top Bottom