Wakudadavuwa
JF-Expert Member
- Feb 17, 2016
- 17,506
- 15,999
Benki kuu ya Tanzania leo tarehe 8 May 2017 imeifutia rasmi leseni benki ya FBME. Taarifa rasmi inakujia muda mfupi.
Sio rahisi kama unavyofikiriasasa hapo wafanyakazi ni kujichotea tu kisha unalala mbele.
Hivi hili nililowaza linawezekana kweli?
Hilo haliwezekani mkuu,maana ilikuwa siri kubwa mno.ni kwamba staff mnafika kazini kama kawaida,halafu ghafla wanakuja ma officer wa BOT na FFU wenye silaha,mna handover kila kitu.so huwezi kutoka na amana za watu mkuu.sasa hapo wafanyakazi ni kujichotea tu kisha unalala mbele.
Hivi hili nililowaza linawezekana kweli?
Unatamani lingewezekana?sasa hapo wafanyakazi ni kujichotea tu kisha unalala mbele.
Hivi hili nililowaza linawezekana kweli?
Watu ni wataalamu wa kutumia fursa!Hahaha hapo ndio unamdai mtu hakawii kukwambia unajua FBME sijui nini akaunti yangu benki imefungwa, wengine walishaanza unajua msiba wa Arusha.
Kuna watu wanajua kutumia vizuri matukio yasiyowahusu kutoa udhuru wa kutimiza majukumu yao. Visingizio visivyo na maana wala ukweli.
Kwanini wamefungiwa anaejua naomba anidadavulie
Hii benki wakati fulani iliwahi kutangazwa benki bora Tanzania lakini cha ajabu ilikuwa na matawi (nadhani) mawili tu, Samora Avenue na Kinondoni!
i benki aijanzia apa kufilisika,imeanzia usa kwa shinikizo LA federal bank,imeshunikiwa katika money laundering na kuifazi pesa za black markets,.. Kwa iyo usilaumu tu