Mshana Jr Platinum Member Aug 19, 2012 284,235 738,451 Jun 1, 2017 #1 Ujumbe wake huu hapa kwa siku hii maalum kwake mpende jirani yako kama nafsi yako...ungana na Jr katika siku hii maalum kwake kuwasamehe wote waliokutendea vibaya na kukukwaza nawe utabarikiwa Anza upya na Jr. Pls Moderator iacheni hii post hukuhuku kwa ombi maalum thanks
Ujumbe wake huu hapa kwa siku hii maalum kwake mpende jirani yako kama nafsi yako...ungana na Jr katika siku hii maalum kwake kuwasamehe wote waliokutendea vibaya na kukukwaza nawe utabarikiwa Anza upya na Jr. Pls Moderator iacheni hii post hukuhuku kwa ombi maalum thanks
Mshana Jr Platinum Member Aug 19, 2012 284,235 738,451 Jun 1, 2017 Thread starter #3 Inna said: Hapy birthday Click to expand...
Bailly5 JF-Expert Member Mar 11, 2015 16,425 35,127 Jun 1, 2017 #4 Happy birthday kaka mkubwa. Hao ndio maadui wenyewe? Duuh
MO11 JF-Expert Member Mar 23, 2014 18,862 38,752 Jun 1, 2017 #5 mzee nataka dawa ya macho maana nakumbuka hadi jana saa moja pochi lilituna ila sasa hv sioni kitu ila nimechoka sana
mzee nataka dawa ya macho maana nakumbuka hadi jana saa moja pochi lilituna ila sasa hv sioni kitu ila nimechoka sana
Moisemusajiografii JF-Expert Member Nov 3, 2013 43,042 75,568 Jun 1, 2017 #9 MO11 said: mzee nataka dawa ya macho maana nakumbuka hadi jana saa moja pochi lilituna ila sasa hv sioni kitu ila nimechoka sana Click to expand... Ulilia dakhu zote mkuu ? Hahahahaaa!
MO11 said: mzee nataka dawa ya macho maana nakumbuka hadi jana saa moja pochi lilituna ila sasa hv sioni kitu ila nimechoka sana Click to expand... Ulilia dakhu zote mkuu ? Hahahahaaa!
N niah R I P Sep 26, 2015 7,019 9,293 Jun 1, 2017 #11 Happy bd my mdogo! xxxxxxxx Uzidishiwe miaka nyingi yenye heri na hekima zizidi zaidi.
Mshana Jr Platinum Member Aug 19, 2012 284,235 738,451 Jun 1, 2017 Thread starter #20 MO11 said: mzee nataka dawa ya macho maana nakumbuka hadi jana saa moja pochi lilituna ila sasa hv sioni kitu ila nimechoka sana Click to expand... pole sana chumaulete za siku hizi noma sana
MO11 said: mzee nataka dawa ya macho maana nakumbuka hadi jana saa moja pochi lilituna ila sasa hv sioni kitu ila nimechoka sana Click to expand... pole sana chumaulete za siku hizi noma sana