Recent content by mwasamasole

  1. mwasamasole

    JamiiForums Tanzania Watanzania tukubaliane na Zitto Kabwe, kumpa muda Rais Samia

    Ni ukweli usiopingika kuwa mfumo uliopo sasa hivi unaoongoza nchi yetu ni mfumo uliosukwa na hayati Magufuli, hivyo siyo rahisi kwa rais aliyepo kuoneasha mabadiliko makubwa na ya kushangaza yanayoweza kuwa tofauti na mtangulizi wake. Hivyo baada ya muda fulani ambapo atakua kafanya mabadiliko...
  2. mwasamasole

    JamiiForums Tanzania Tuwe na akiba ya maneno na vitendo, hali anayopitia Dkt. Bashiru ni ngumu sana kwenye maisha yake

    Enzi za uhai wa Magufuli viongozi wengi walijisahau kuwa Kuna muda Mungu anaweza kufanya maamuzi yake pasipokujali binadamu mnataka Nini au mnawaza nini, hali hi ndo inawapata baadhi ya viongozi wateule was awamu ya tano akiwemo Bashiru. Anguko lake limekua kubwa mno na hata alipoangukia...
  3. mwasamasole

    JamiiForums Tanzania Swali juu ya upatikanaji wa cheti cha form four baada ya result sleep kutoka

    Je kuna ukweli kua mtu akienda Baraza la mitihani la Taifa kuomba cheti chake baada ya kupata result sleep anaweza kupewa? Kabla havijafika katika shule aliyofanyia mitihani? Naomba majibu kwa wanao fahamu hili Sent using Jamii Forums mobile app
  4. mwasamasole

    JamiiForums Tanzania Sekretarieti ya Ajira Tanzania yatangaza nafasi 851 za Udereva kwa ajili ya Wizara na Idara mbalimbali Serikalini

    Jamani, sa walio maliza kidato cha nne mwaka Jana na vyeti vyao bado havijatoka wanafanyaje maana kuna mtu sifa zote anazo ila kapewa result sleep tu na cheti bdo hakijatoka, majibu kwa msaada zaid kwa wanaojua zaidi Sent using Jamii Forums mobile app
  5. mwasamasole

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania KARIAKOO DERBY: Simba SC yatakata kwa kuirarua Yanga SC goli 1-0, Uwanja wa Taifa-Dar

    Kama ulivyoolewa wewe usiku wa kuamkia leo
  6. mwasamasole

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania KARIAKOO DERBY: Simba SC yatakata kwa kuirarua Yanga SC goli 1-0, Uwanja wa Taifa-Dar

    Umetabir vyema
  7. mwasamasole

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Bosi wangu ananitaka, ushauri tafadhali

    Mimi ni dreva na bosi wangu ni mwanamke. Tatizo linalonipata ni pale bosi wangu anaponitaka kimapenzi ni mwezi sasa unapita namkatalia. Je naweza kosa kazi? Na kama nikimkubalia kazi ndo itakua nzuri kwangu? Ushauri wenu wana JF
  8. mwasamasole

    JamiiForums Tanzania Natafuta mwanaume mwenye hali kama yangu

    kwani lazima naye awe muathirika kama wewe tu?
  9. mwasamasole

    JamiiForums Tanzania Nairobi, Kenya: Tundu Lissu azungumza na kula chakula kwa mara ya kwanza

    Leo kwa mala ya kwanza tangu kulazwa kwa mheshimiwa Tundu lisu leo ameanza kula na kuongea chanzo cha habari ni kutoka kwa Mheshimiwa Freeman Mbowe kutoka Nairobi
  10. mwasamasole

    JamiiForums Tanzania Chama cha Mapinduzi (CCM) Kimetoa tamko na kulaani Jaribio lililoshindwa la kumuua Mheshimiwa Tundu Lissu

    Mungu ni wa wote haina shida atamponya tuu
  11. mwasamasole

    JamiiForums Tanzania Misemo inayoandikwa kwenye vyombo vya usafiri, we acha tu!

    Nimeona hii jamani
  12. mwasamasole

    JamiiForums Tanzania Mbunge wa Singida Mashariki, Tundu Lissu akamatwa akiwa uwanja wa ndege wa Dar akielekea Kigali

    BREAKING NEWS TUNDU LISU AKAMATWA Mh. Tundu Lissu amekamatwa jioni hii akiwa uwanja wa ndege wa kimataifa wa DAR akielekea Kigali kwenye mkutano wala marais wa vyama vya mawakili Afrika mashariki. Ameandika haya: Wajumbe wa halmashauri. Nipo uwanja wa ndege najiandaa kuelekea Kigali kwenye...
  13. mwasamasole

    JamiiForums Tanzania Hatimae taifa latolewa kimasomaso na taifa stars

    majungu dhambi vijana wamejitahidi
  14. mwasamasole

    JamiiForums Tanzania Kibiti, Pwani: Majambazi yaua Askari Polisi NANE(8)

    Atasema cyo habari ataachia vyombo vyake vifanye kazi
Back
Top Bottom