mwasamasole
Senior Member
- Oct 25, 2015
- 106
- 119
Mimi ni dreva na bosi wangu ni mwanamke. Tatizo linalonipata ni pale bosi wangu anaponitaka kimapenzi ni mwezi sasa unapita namkatalia.
Je naweza kosa kazi?
Na kama nikimkubalia kazi ndo itakua nzuri kwangu?
Ushauri wenu wana JF
Je naweza kosa kazi?
Na kama nikimkubalia kazi ndo itakua nzuri kwangu?
Ushauri wenu wana JF