Sekretarieti ya Ajira Tanzania yatangaza nafasi 851 za Udereva kwa ajili ya Wizara na Idara mbalimbali Serikalini

Jamani, sa walio maliza kidato cha nne mwaka Jana na vyeti vyao bado havijatoka wanafanyaje maana kuna mtu sifa zote anazo ila kapewa result sleep tu na cheti bdo hakijatoka, majibu kwa msaada zaid kwa wanaojua zaidi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
kuna graduates wengi madereva wa uber.. na wengine wana leseni hizo... wataomba pia.. utashangaa watu wamejaza taifa siku ya usahili
hela wanayoipta via uber ni kubwa kuliko hela watakayoipata as dereva wa serikali. madereva wa uber wa uber wakiomba nafasi za serikalini ni kujidowngrade tu
 
hela wanayoipta via uber ni kubwa kuliko hela watakayoipata as dereva wa serikali. madereva wa uber wa uber wakiomba nafasi za serikalini ni kujidowngrade tu

wabongo wanapenda job security.. na pia dereva wa serikali ana per diem nyingi.. safari zake na boss wake
 
Ndio memda VETa weka leseni mkononi ili likitokea la dereva unaanza nalo mbeleni unafukua maganda yako wakati uko katika payroll.
MADEREVA WA SERIKALINI AMBAO NI FORM FOUR LEAVER WANA MAISHA MAZURI KULIKO MWALIMU WA SHAHADA
HATA FURSA WANAZO ZA KUTOSHA KUTOKANA NA UKARIBU WAO NA VIBOPE

MJINGA MIMI NILIJISHAUA KUSOMA SANA ILI NIFIKE CHUO KIKUU NA BADO NAISHI PANGA PAKAVU TIA MCHUZI

Sent using Jamii Forums mobile app
 
hela wanayoipta via uber ni kubwa kuliko hela watakayoipata as dereva wa serikali. madereva wa uber wa uber wakiomba nafasi za serikalini ni kujidowngrade tu
Hawa UBER ambao wanaweza kuacha project wakati wowote ? Mkuu dereva wa serikali anapata night allowance ya 80000 per day akienda safari na pesa ya mafuta anapewa yeye mkononi. Wadanganye waendelee kuendeasha Uber
 
MADEREVA WA SERIKALINI AMBAO NI FORM FOUR LEAVER WANA MAISHA MAZURI KULIKO MWALIMU WA SHAHADA
HATA FURSA WANAZO ZA KUTOSHA KUTOKANA NA UKARIBU WAO NA VIBOPE

MJINGA MIMI NILIJISHAUA KUSOMA SANA ILI NIFIKE CHUO KIKUU NA BADO NAISHI PANGA PAKAVU TIA MCHUZI
Ndo ingia zako NIT apo au VETA chkua gamba, kachkue lesen ya C1 ingia mzigon,, muda bdo unakuruhusu mzee la sivyo utaenda sana DUCE af mchongo hulambi kudadeki.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom