Recent content by Mwanakijiji Wakwanza

  1. Mwanakijiji Wakwanza

    JamiiForums Tanzania House4Sale Nyumba ya vyumba vitatu inauzwa tsh 28million

    mwendo wa dakika kutokea wapi mkuu
  2. Mwanakijiji Wakwanza

    JamiiForums Tanzania Naomba ushauri, nimkopeshe hela huyu binti au niache?

    huyo humkopeshi kama unayo we mpe tu mkuu make hata ka ukijitia kumkopesha hatakulipa
  3. Mwanakijiji Wakwanza

    JamiiForums Tanzania RC Makonda: Ni marufuku kuwasaidia Ombaomba barabarani jijini Dar

    sawa sawa mkuu, isionekane kila kitu lazima 'fulani' atoe tamko
  4. Mwanakijiji Wakwanza

    JamiiForums Tanzania Wafugaji wa kuku; tibu ndui kwa oil chafu

    hapa naomba nieleweke kuwa nimejifunza mbinu kadhaa za ufugaji hapa jamvini, sasa baada ya kuingia kwenye ufugaji nikagundua hii mbinu mpya ya kutibu ndui/fowl pox, najua kuna wataalam hapa au kama kuna mtu ashawahi kuitumia tubadilishane uzoefu na kama hakuna basi wataalam waifanyie utafiti...
  5. Mwanakijiji Wakwanza

    JamiiForums Tanzania Rais mpenda michezo

    hivi ni tangu tumepata uhuru au tangu michuano hiyo ianzishwe?
  6. Mwanakijiji Wakwanza

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Mke wangu anapenda niwe nae muda wote

    kuna ishu nyepesi na majibu yake always ni mepesiii:(
  7. Mwanakijiji Wakwanza

    JamiiForums Tanzania Kwa wazazi na walezi: Mada maalum ya watoto

    na mimi nilitaka niulize hii mkuu
  8. Mwanakijiji Wakwanza

    JamiiForums Tanzania Niko njia panda,naombeni ushauri

    hicho kipengele cha pili ndo jibu mkuu, mtu unayempenda usiwasiliana nae kwa siku nzima tu ni tatizo....tunatoka kwenda kibaruani asubuhi ukiwa na uhakika wa kurudi jioni lkn haifiki saa nne ushamtext wife zaidi ya mara mbili,tatu...itakuwa hii ya kukaa kimya miezi kadhaa??
  9. Mwanakijiji Wakwanza

    JamiiForums Tanzania Wafugaji wa kuku; tibu ndui kwa oil chafu

    Habari, nimekuwa nikisoma machapisho mengi sana hapa JF yanayohusiana na mbinu za ufugaji wa kuku wa kienyeji na nimehasika kufuga, kwa kipindi ambacho nimeanza kufuga nimeweza kugundua kitu kipya (nasema kipya kwa sababu sikuwahi kukutana bacho hapa JF). Ni kuhusu kutibu ugonjwa wa ndui kwa...
  10. Mwanakijiji Wakwanza

    JamiiForums Tanzania Fahamu kwanini mbwa hatumiwi na wachawi

    mmmh mkuu hapa ufafanuzi kidogo, mbwa ana uwezo wa kuona, je akibweka sana na wewe ukataoka utawaona???
  11. Mwanakijiji Wakwanza

    JamiiForums Tanzania Kumuasi mbwa (Castration)

    mmmmh nadhani inatemegea na jamii ya mbwa mkuu lakini mbwa wengi wakihasiwa wanakuwa wapole
Back
Top Bottom