House4Sale Nyumba ya vyumba vitatu inauzwa tsh 28million

pc20

Member
May 28, 2016
24
10
Ndugu mteja, Nyumba hii inapatikana maeneo ya Chamanzi Dovya kwa Mzara jijini Dar es salaam. Kwa gari ni 10dk kwa speed ya 30kmp/hr kutoka Mbagala Rangi tatu hadi eneo ilipo nyumba hii.
1c460c2223fc7b07babc9353d6da2cb7.jpg

Nyumba hii inavyumba 3 na kila chumba kina choo chake ndani, ina seating room1, Dining room1, jiko1, pamoja na store 1.
b35bce456175813a3c4381efc8b67587.jpg

Inauzwa Tsh. 46millions ikiwa imekamilika, yaani itakuwa ina Fensi, Umeme, Milango, Madirisha na itakuwa imewekewa sakafu ya chini.

Ila Kama utainunua kama ilivyo kwa sasa basi Bei yake itakuwa ni Tsh 28million tu, ambapo mpaka sasa imeisha wekwa Gypsum ndio tunataka kuweka Madirisha pamoja na Milango.

Umeme upo njumba za jirani ila maji yapo ambapo bomba la maji lipo hapo mbele ya gari ilipo park.
ee69b96037711e2e0290a85ad3a891db.jpg

Ukubwa wa eneo ni mita 19 urefu na upana wake ni mita 13. Tuwasiliane kupitia 0659 91 9292
37bac6a31b6f104fd129df5be26fe5c4.jpg
 
Ndugu mteja, Nyumba hii inapatikana maeneo ya Chamanzi Dovya kwa Mzara jijini Dar es salaam. Kwa gari ni 10dk kwa speed ya 30kmp/hr.
1c460c2223fc7b07babc9353d6da2cb7.jpg

Nyumba hii inavyumba 3 na kila chumba kina choo chake ndani, ina seating room1, Dining room1, jiko1, pamoja na store 1.
b35bce456175813a3c4381efc8b67587.jpg

Inauzwa Tsh. 46millions ikiwa imekamilika, yaani itakuwa ina Fensi, Umeme, Milango, Madirisha na itakuwa imewekewa sakafu ya chini.

Ila Kama utainunua kama ilivyo kwa sasa basi Bei yake itakuwa ni Tsh 28million tu, ambapo mpaka sasa imeisha wekwa Gypsum ndio tunataka kuweka Madirisha pamoja na Milango.

Umeme upo njumba za jirani ila maji yapo ambapo bomba la maji lipo hapo mbele ya gari ilipo park.
ee69b96037711e2e0290a85ad3a891db.jpg

Ukubwa wa eneo ni mita 19 urefu na upana wake ni mita 13. Tuwasiliane kupitia 0659 91 9292
37bac6a31b6f104fd129df5be26fe5c4.jpg

Nyumba zingine pamoja na viwanja vinapatikana kupitia kwenye link ifuatayo=> HII SI YAKUKOSA KABISA, NYUMBA 3 NA VIWANJA ZAIDI YA 65 VINAUZWA, KUFAHAMU ZAIDI BOFYA HAPA | <center>Mikoa Yetu</center>
mwendo wa
dakika kutokea wapi mkuu
 
Mkuu kiwanja kinaukubwa gani? Mbona kama eneo la wazi??
Ili si eneo la wazi ila ukubwa wa kiwanja nimeutaja hapo juu kwenye maelezo ya hawali upana wake ni 13mita na urefu ni mita 19
 
duh nikiangalia gharama za ujenzi na hiyo bei naona kama ni bure kbsa, kama haina shaka mwenye hela achangamkie
 
duh nikiangalia gharama za ujenzi na hiyo bei naona kama ni bure kbsa, kama haina shaka mwenye hela achangamkie
Sisi tuna wakaribisha watu wote wenye kuitaji nyumba zetu na wanaweza kufanya uchunguzi pasipo kutuhusisha juu ya kile wanacho taka kununua kisha baada ya kujiakikishia kuwa ni salama ndipo tunafanya biashara sasa.
 
Ili si eneo la wazi ila ukubwa wa kiwanja nimeutaja hapo juu kwenye maelezo ya hawali upana wake ni 13mita na urefu ni mita 19
Huo ni ukubwa kiwanja, sasa je nyumba yenyewe ina ukubwa gani. Maana daa hapo kama hesabu haisomi vizuri kwangu vile!?
 
Nimependa ulivyojitahidi kufafanua..wengi humu wanababaisha matangazo
 
Tangazo lako limekaa vyema kama, umewekaa taarifa zote muhimu tofauti na matangazo ya watu wengine. Safi sana
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom