Mwanakijiji Wakwanza
Member
- Apr 9, 2016
- 15
- 4
Habari, nimekuwa nikisoma machapisho mengi sana hapa JF yanayohusiana na mbinu za ufugaji wa kuku wa kienyeji na nimehasika kufuga, kwa kipindi ambacho nimeanza kufuga nimeweza kugundua kitu kipya (nasema kipya kwa sababu sikuwahi kukutana bacho hapa JF). Ni kuhusu kutibu ugonjwa wa ndui kwa kurtumia oil iliyotumika/oil chafu…naombeni uzoefu wenu kwenye hili.
Nawasilisha
Nawasilisha