Kumuasi mbwa (Castration)

Come27

JF-Expert Member
Dec 1, 2012
7,694
7,369
Kumuasi mbwa (Castration)
Kumuasi mbwa (Castration)

Naomba mnisaidie kujua kwamba kumuasi mbwa. Anakuwa mkali au ndio atakuwa mpole akiona mbwa wengineo.
Nawasilisha. Please mchango wenu. Msitumie lugha ya kuuzi
 
Unataka lawama na majirani nakumbuka mwaka 1994 mbwa wa maskani alihasiwa na mjomba akiwa mdogo ilikuwa ni shida unabisha hodi mita mia na ni kwa tahadhari sana mbwa alikuwa@ mkali usipime alikufa kwa kugongwa na gari baada ya kumkimbiza dereva wa fiat dereva akawahi kuingia ndani ya gari mbwa akabaki anamtafuta chini ya uvungu wa gari dereva akampitia ndo ukawa mwisho wake iliniuma sana kufa mbwa wetu
 
Nakumbuka nilipokuwa mdogo kuna njia moja Kigamboni karibu na nyuma ya wasomali kulikuwa na mijibwa mikali hatari kila tukipita lazima itutoe mbio dadadeki zao.
 
Tayari tusharekebeisha karibu mdau ktk mchango wako ktk mada
 
Kuhasi hakumfanyi mbwa kuwa mkali! Isitoshe unapokuwa na mbwa asiye na discipline ni janga kubwa kwa familia yako kuna kesi kadhaa duniani ya member wa familia kuuawa au kujeruhiwa na pet dog wasioshikishwa adabu.
Na unapoamua mbwa awe kwa ulinzi kuna discopline yake pia ,waswahili tunachanganya mbwa mlinzi na mbwa rafiki hiyo nu hatari!
Kumhasi mnyama kutampunguxia kuzurula na pia kutamfanya anenepe sana basi!
Unachokiona hapo si ukali bali nu frustrastion na stress za mbwa kwa kushindwa kisocialize na wenzaje kimgegedo!tena ukifanya masikhara wanaweza kuja vidume wenzake wakamgegeda!
 
Hah hah inawezekana kumbe wakaja mbwa wengineo wakamuingilia kinyume na maumbile
 
Izi ni Top 3 ya Mbwa hatari Sana
1. Pit bull Terrier(American)
2. Germany Rottweilers
3. Germany Shepherd

Germany Shepherd ndio kapewa kibali duniani kote kwa ajili ya ulinzi
 
Kuhasi hakumfanyi mbwa kuwa mkali! Isitoshe unapokuwa na mbwa asiye na discipline ni janga kubwa kwa familia yako kuna kesi kadhaa duniani ya member wa familia kuuawa au kujeruhiwa na pet dog wasioshikishwa adabu.
Na unapoamua mbwa awe kwa ulinzi kuna discopline yake pia ,waswahili tunachanganya mbwa mlinzi na mbwa rafiki hiyo nu hatari!
Kumhasi mnyama kutampunguxia kuzurula na pia kutamfanya anenepe sana basi!
Unachokiona hapo si ukali bali nu frustrastion na stress za mbwa kwa kushindwa kisocialize na wenzaje kimgegedo!tena ukifanya masikhara wanaweza kuja vidume wenzake wakamgegeda!
Ha ha ha ha ha ha.......hilo neno kugegeda huwa likitumiwa linanivunja mbavu balaa.......huwa nacheka hata kama comment au post haichekeshi.....
 
Back
Top Bottom