Lyrics Master
JF-Expert Member
- Apr 2, 2016
- 482
- 681
HAHAHHAHAH UMETISHA JAMAASnoop Doggy Dogg....... Whats my name?
Lodi dodi
Tha Shiznit
Gz up hoes down
Anavuta bange 24/7 mchawi gani atamtumia?
Hata jichawi anamuogopa
HAHAHHAHAH UMETISHA JAMAASnoop Doggy Dogg....... Whats my name?
Lodi dodi
Tha Shiznit
Gz up hoes down
Anavuta bange 24/7 mchawi gani atamtumia?
Hata jichawi anamuogopa
Kwa kauli hizi inaonyesha ni mnufaika sasa anapumbaza wengine ili wawashughulikie zaidi ila sisi tunaakili zetu timamu.Ukiwa unafikra Na Imani ndogo utaujali uchawi.Watu ambo wanamuogopa MUNGU Kwa dhati kwamba yeye ndio kawaumba hao
"Wachawi Na wanga".Basi hakuna anaye weza kukudhuru 100%madhubut.
Halafu paka Na mbwa ni wanyama rafiki ya binaadam:Nakila mmoja anashughuli yake.
Mbwa ni mlizi wako.kwend kuwinda Na anamapemzi kuliko watu wengi tu.
Paka ni mlizi wa nyumbani Kwa Panya Na wadudu wanao weza kuleta madhara nyumbani.
Enyi wadau!
KWANINI PAKA HUTUMIKA
katika viumbe vya kufugwa na mwanadam,Paka hawezi muona mchawi, ni kipofu kabisa, ndo maana anatumwa, Paka ameonekana kuwa kiumbe kinachotumiwa sana na wachawi na washirikina hii ni kwasababu Paka ana kichwa chepesi, anaelewa haraka na kukariri, paka anaweza tumwa chochote nyumbani kwako, paka anaweza kuja kukuchunguza maisha yako kichawi, mtakubaliana na mimi inaweza ukawa umejifungia ndani au umeleta kitu kwa siri ndani kwako ila utashangaa kibibi kichawi kinakwambia naona umenunua kitu fulani mjukuu wangu. sasa ndo ujiulize kimejuaje wakati kinakaa mtaa wa pili na wewe umeleta kwa siri? paka anao uwezo wa kukamata vitu kwa haraka,wengine watumwao ni ndege njiwa na bundi maana hawaoni uchawi.
MBWA JE YUKOJE?
kwa mbwa ni kinyume kidogo, mbwa anaona wachawi, anauwezo mkubwa sana wakuona uchawi, anakichwa kizito, hawezi tumwa na wachawi maana ataharibu kabisa kwakuwa anaona wachawi wengine, mbwa hafai, wengine hadi humwita mbwa ni najisi, hili ni kwasababu mbwa havumilii kuona majini au wachawi wanakatiza lazima atabweka! mbwa ameonekana kufaa katika ulinzi kwasababu anaona usiku wezi na wachawi. ukiona mbwa anabweka sana usiku nyumbani kwako usipuuzie chunguza lazima utakuta kuna tatizo.wengine wenye uwezo wa kuona ni KUKU na BATA ...hao wanaouwezo wa kumwona mchawi...hakikisha unawatumia wanyama wako kukurinda kwa kusikiliza milio yao.
mmmh mkuu hapa ufafanuzi kidogo, mbwa ana uwezo wa kuona, je akibweka sana na wewe ukataoka utawaona???Hiyo haina ubishi kwanza anabweka sanaa na mwisho analiaaa ujue nje huko hakupo salama kuna wachawi
dah ila wachawi mtihani sana,wanasumbua hatari,wanatia sana hofu na shakaUkiwa unafikra Na Imani ndogo utaujali uchawi.Watu ambo wanamuogopa MUNGU Kwa dhati kwamba yeye ndio kawaumba hao
"Wachawi Na wanga".Basi hakuna anaye weza kukudhuru 100%madhubut.
Halafu paka Na mbwa ni wanyama rafiki ya binaadam:Nakila mmoja anashughuli yake.
Mbwa ni mlizi wako.kwend kuwinda Na anamapemzi kuliko watu wengi tu.
Paka ni mlizi wa nyumbani Kwa Panya Na wadudu wanao weza kuleta madhara nyumbani.
Ulimpa zawadi gani huyo paka?Mbwa ananusa hivyo atajua uongo , paka hata akinusa hatakuwa na akili ya kuonyesha figisu figisu. Mbwa anaweza kujua uongo na ukweli, Naomba niseme kuwa paka alisalimisha maisha yangu mwaka 1994. Nilikuwa nanyonyesha na mtoto alikuwa hataki kulala na mimi nimechoka toka kazini. Namtembeza kwenye garden mara naumwa na paka, mara wa pili kuagalia chini bonge la Cobra!!!!! mme wangu aliwakimbiza paka ila huyo nyoka alikuja uawa na mtoto wangu na rafiki zake hapo jirani sababu ilikuwa njia ya hao nyoka.
Ukiona hivyo,ujue kuna watu wanataka kusafiria nyota ya ndg yangu mshana Junior.[emoji1]Hii taaluma naona inazidi kukua wataalamu wa jadi wanaongezeka kila siku
Kha....!!! Mbwa anaweza kupost humu??Wengine hadi hufika kumwita najisi mmhh! wewe hili fumbo lako mfumbie mjinga mwerevu tunalijua. Wewe utakuwa mbwa tu sio bure.
Mbwa wa kichawi [emoji1] [emoji38] au hujamuona yule paka wa selfie[emoji6]Kha....!!! Mbwa anaweza kupost humu??
Mkuu kumbe wataalamu wa hii elimu mpo wengi...!!!Nipo naelimika hapa